Mwanamke mzuri ni mwenye akili, tabia njema na mwonekano

Mwanamke mzuri ni mwenye akili, tabia njema na mwonekano

Its rate kupata all those packages kutoka kwa mtu mmoja. Unaongelea wanawake watatu tofauti
naunga mkono hoja ,..IT'S VERY RARE...
NI aghalabu kupata mwenye sifa zote tatu ,kwa nadra anaweza akawa na sifa mojawapo au mbili kati ya tatu.

Na mara nyingi akishakuwa na sifa namba 3 basi anakuwa hana sifa namba 1.Anaeweza akawa na akili za kufaulu mitihani ya darasani akakosa akili ya maisha?
 
Kuna mwingine alikuwa anakuja geto tule majamboz, akawa kero, anakuja geto ananuka moshi, mdomo unanuka vitunguu saumu, miguu ina vumbi anachafua mashuka. Ikabidi nimuambie aniheshemu, asiwe anakuja kivile hana adabu
 
Naam, hivi ndivyo vigezo na vipengele vya kuoa mke bora. Kuna mama nilikuwa namuambia huwezi kukurupuka kuoa harakaharaka utajikuta umeo mke wa ajabu halafu ndoa ikavunjika
 
Kuna watu walioa ili mradi mke tu wakaishia kuwaacha wake hao. Wengine walio wagonjwa, wenye matizo ya afya ya akili, wavivu/tegemezi kwa 100%, wazinzi na wenye tamaa mbaya wakaishia kuwakimbia na kuwaacha mazima
 
Kuna matukio mengi tu ya watu kuunganishia mtu aoe mke wa ajabu, unakuta kijana kaunganishiwa mwanamke kumbe huyo mwanamke ana matatizo ya kiafya, matatizo ya kiakili, hana maadili ya kimila na kidini, changudoa mpevu na tapeli wa ndoa.
 
mbona mnatuchanganya? si tulikubaliana mwanamke anasaminishwa kutokea upande wa nyuma au?
 
Leo umepiga penyewe
Mwanamke asiwe kulakula minyamanyama..
Mat*ko kama uji uliolala
 
Afadhali awe na sura ya baba au personal kuliko mzuri halafu tabia mbovu na akili kisoda
 
Back
Top Bottom