Mwanamke mzuri ni yupi?

situjadiriane

Member
Joined
Jan 5, 2023
Posts
41
Reaction score
49
Ndugu wana JamiiForums naomba kuuliza swali? Swali langu linaweza kuonekana la kawaida Ila lina maana kubwa wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia. Wengine husema uzuri wa Mwanamke ni sura.

Je kati ya haya mawili sura na tabia lipi lipewe kipaumbele ninapochagua mchumba?

Naomba kuwasilisha
 
1. Awe ana kuheshimu na kukutii.......
2. Awe anaridhika..........
3. Awe msafi..(hapa utasherehesha mwenyewe)
 
Enzi za ujana nilipata rafiki wa kike mwenye sura mbovu hasa.....lakini kwa upande wa ''machine''..asalalee....ni mtamu kupindukia na kuzidi.........
 
Wewe oa mwenye tako tuu, tabia wote wañafanàna ilà tàko hazifanani.
 
Mwanangu Yan tukuchagulie na mtu WA kumpends😅mwanangu tuwaze michongo kwanza
 
Hakuna mwanamke mzuri sema mrembo .
Mzuri amekua Michele au unga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…