mwanamke mzuri wa kuoa ni
mwanasheria na awe mnyakyusa
awe mzaramo na mwimba taarabu
awe mwanasiasa then muhaya
IZO NDO FLAG ZA KUOA!!!!
Kwa hiyo wote wasiokua walimu wasiolewe? Au hapa mnamaanisha nn? Kama kila mtu aamue kufuata huu ushauri?
Kwa hiyo unamaanisha nn? Labda sijakuelewa!Haikusemwa wote wasiokuwa walimu wasiolewe. Haikusemwa wote waliokuwa walimu waolewe.
Kwa hiyo wote wasiokua walimu wasiolewe? Au hapa mnamaanisha nn? Kama kila mtu aamue kufuata huu ushauri?
Imetoka kwenye makabila sasa tumeingia mke wa kuoa kutokana na kazi aifanyao! Kazi kwelikweli!Mkuu tuko pamoja.
ukioa mke sababu tu ni mwalimu nadhani sio sahihi, wapo walimu utulivu ziro.
Mke mzuri ni yule mnaependana kwa dhati na mwenye tabia njema inayokubalika, thats all.
Kwa hiyo unamaanisha nn? Labda sijakuelewa!
Id yangu ni utata nini? Mimi ni mwanamke. Sawa nitamwita mme wangu kwa cheo chake. Cjui atakuwa mwalimu..!!
Kinachozungumzwa ni tabia za jumla za makundi ya watu katika jamii. Mfano kuna makundi kama walimu, wanasheria, askari, mama lishe, madaktari, wanasiasa n.k. Watu wa kundi moja huwa na tabia zinazowatofautisha na wengine katika makundi tofauti. Hata hivyo si ajabu baadhi ya watu wa kundi moja kuwa na tabia fulani za walio katika kundi jingine. Sasa kilichopo hapa ni mapendekezo kutokana na kundi la walimu. Watu wanaowafahamu walimu (kwa ujumla wao) wanatoa changamoto ambazo kwa sasa ni kupendekeza sifa chanya na hata hasi za wanawake katika kundi hili.