Mwanamke mzuri wa kuoa ni mwalimu.

kwa hiyo mimi ambaye nimeoa housewife, yaan mama wa nyumbani nimejichanganya? aliishia darasa la 7 tu...maana naona mnashabikia elimu tu...
 
Nitoe ushuhuda.

Mke wangu ni mwalimu na ndoa imekwishapita miaka 25. Nilipata dili nzuri.
 
mwalimu hasa wa shule ya msingi ndo mpango mzima kwani hata uhamisho wake ni simpo tu karibu kila kijiji kina shule.
 
Lol! Basi mie mtoto wa mwalimu natafuta mume.. Hahahaha! Well my opinion is rshps hazina formula, it is how the two of u make it!
 
naomba uniPM basi ili tuwekane sawa...i mean we can start our relatioship fom here
 
Aah jamani ina maana si machinga hatutaolewa kabisa
 
Mamushka, hapo umenishika!
Infact i do lyk a girl of your kind and u are the one!
Plz ni PM tuongee kirefu coz hata mi sijaoa!
 
Ni kweli, mwanamke wa kumwoa ni Mwalimu. Hata kwenye mechi atakuwa na tabia ya kusema rudia!!!!!!!!!!!!!!!
 
kwa hiyo mimi ambaye nimeoa housewife, yaan mama wa nyumbani nimejichanganya? aliishia darasa la 7 tu...maana naona mnashabikia elimu tu...

hujajichanganya. Ila inawezekana angekuwa mwalimu angekuwa na sifa za ziada.
 
asante kwa comment yako hiyo...she is actually very nice...hivi nikisema nimpeleke chuo akasomee ualim ndio ntakuwa namkoroga zaidi au?
 
mpeleke aongezeke maskills. Walimu wanajifunza mambo mengi pamoja na haiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…