Wewe Kikuyu acha uoga !!!!Hehehehe.....
Hii noma, haya bwana mkae na wake zenu hatuwagusi. Yaani inabidi mwanamke unipe ushahidi tosha kwamba hujaolewa kabla hata nikuulize jina na namba ya simu. Aibu za hivi sizitaki, unaanikwa kwenye runinga ya taifa...
wakenya bna mnashindwa kushika alshababu wanaswe na mabomu yao mnahangaika na ngono ovyo kweli
Wewe Kikuyu acha uoga !!!!
ahahaaa sasa unamuaibish mke hivo halafu unamrudia si bora ingekuwa siri?Alshabaab watajijua wenyewe, mke wa mtu balaa, panaibuka timbwili hadi Alshabaab inakua cha mtoto. Sio kama huko Bongo huwa mnaimba eti 'kuchapiwa siri ya ndani'.