Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, ni busara na ni salama kiasi gani kwa mume kumshirikisha mke wake KILA siri aijuayo?
hahaaaaaaaaa loh!Mengi kumshirikisha si busara vile vile. mangine yanahatarisha ndoa.
Kama unataka uhakikishe kwamba mwanamke hana siri, jaribu siku moja kumueleza siri ya uongo tu ya kutunga. Lakini iwe inatisha na umwambie inahitaji usiri mkubwa sana maana inaweza ikakuingiza kwenye matatizo kama itagundulika. Siku 2 baada ya kumueleza hiyo siri, ukirudi toka kazini jioni, anzisha vagi la nguvu na umnase kama vibao viwili au vitatu. Hapo ndiyo ndipo utagundua mwanamke hana siri, maana atatimka kwenda nje akilalama mambo mengi tu ikiwa ni pamoja na kuitangaza hiyo siri yako bila kujali madhara yake kwako.