Mwanamke na tohara, mwanaume je?

Mnyampaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
244
Reaction score
58
Mwanamke hufanyiwa tohara kwa ajili ya kupunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa, kwa wanaume hufanyiwa tohara kwa ajili ya nini?
 
hapa hebu tujuze wewe ni she au he na kama ni he hebu tuambie ulifanyiwa ili iwe nini
 
afadhali... naona umeweka mwongozo mzuri...lol

nashangaa mwanzoni nilijua ni siredi ya kupinga tohara kumbe anauliza umuhimu wake ni nini
Atuambie yeye mwenyewe ina umuhimu gani na then tutajua la kumjibu
 
hapa hebu tujuze wewe ni she au he na kama ni he hebu tuambie ulifanyiwa ili iwe nini

uko sahihi kabisa. mimi ni he rijali. nilifanyiwa tohara nikiwa mdogo na mpaka leo sifahamu ni kwanini nilifanyiwa kwani nasikia kuna jamii ambazo hawafanyi hiyo kitu na sijapata sikia kuna tatizo kwa wasiofanyiwa
 
Ulivyosisitiza kwani kuna he ambaye sio rijali
Sawa tukuulize wewe sasa unaonaje ulivyofanyiwa unajisikiaje kuna uhuru fulani unaousikia au kuna lolote unalijisikia au faida unayoiona
 
nashangaa mwanzoni nilijua ni siredi ya kupinga tohara kumbe anauliza umuhimu wake ni nini
Atuambie yeye mwenyewe ina umuhimu gani na then tutajua la kumjibu

yaani wewe kama mimi.... nami nilijua kupinga... enways bado hajataja age....
 
Hivi kumbe lengo la tohara kwa mwanamke ni kupunguza ham ya tendo la ndoa!Sikujua hii!
 
sijapata jibu zaidi ya maswali. nia yangu ni kujua kama wazee wetu waliyafanya hili kwa jinsia zote kwa sababu zinajulikana kwa pande zote mbili
 
Sidhani kwa upande wa mwanaume ukifanyiwa tohara unapunguza hamu ya mapenzi sijui
 
Marijaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mko wapiiiiii waliofanyiwa na wasio fanyiwa tohara kijana anaswali lake na wakujibu ni nyieeeeeeeeeeee,mpeni mafunzo mtoto!
 
Ulivyosisitiza kwani kuna he ambaye sio rijali
Sawa tukuulize wewe sasa unaonaje ulivyofanyiwa unajisikiaje kuna uhuru fulani unaousikia au kuna lolote unalijisikia au faida unayoiona

I think kwa HE ni kwa ajili ya usafi na kujikinga na maradhi, kwani ni rahisi kupata kama hujaondoa ile ngozi. Anayejua zaidi atujuze.......
 
sijapata jibu zaidi ya maswali. nia yangu ni kujua kama wazee wetu waliyafanya hili kwa jinsia zote kwa sababu zinajulikana kwa pande zote mbili
Tohara kwa mwanaume inakufanya kuwa vigumu kupata kwa urahisi kwa maradhi kama HIV n.k,mtu ambae hajafanyiwa ni rahisi kupata maambukizi,kama unataka ufafanuzi mtafute mtaalam wa masuala ya afya atakuelewesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…