Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke hufanyiwa tohara kwa ajili ya kupunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa, kwa wanaume hufanyiwa tohara kwa ajili ya nini?
hapa hebu tujuze wewe ni she au he na kama ni he hebu tuambie ulifanyiwa ili iwe nini
afadhali... naona umeweka mwongozo mzuri...lol
hapa hebu tujuze wewe ni she au he na kama ni he hebu tuambie ulifanyiwa ili iwe nini
uko sahihi kabisa. mimi ni he rijali. nilifanyiwa tohara nikiwa mdogo na mpaka leo sifahamu ni kwanini nilifanyiwa kwani nasikia kuna jamii ambazo hawafanyi hiyo kitu na sijapata sikia kuna tatizo kwa wasiofanyiwa
nashangaa mwanzoni nilijua ni siredi ya kupinga tohara kumbe anauliza umuhimu wake ni nini
Atuambie yeye mwenyewe ina umuhimu gani na then tutajua la kumjibu
sijapata jibu zaidi ya maswali. nia yangu ni kujua kama wazee wetu waliyafanya hili kwa jinsia zote kwa sababu zinajulikana kwa pande zote mbili
Ulivyosisitiza kwani kuna he ambaye sio rijali
Sawa tukuulize wewe sasa unaonaje ulivyofanyiwa unajisikiaje kuna uhuru fulani unaousikia au kuna lolote unalijisikia au faida unayoiona
Tohara kwa mwanaume inakufanya kuwa vigumu kupata kwa urahisi kwa maradhi kama HIV n.k,mtu ambae hajafanyiwa ni rahisi kupata maambukizi,kama unataka ufafanuzi mtafute mtaalam wa masuala ya afya atakuelewesha!sijapata jibu zaidi ya maswali. nia yangu ni kujua kama wazee wetu waliyafanya hili kwa jinsia zote kwa sababu zinajulikana kwa pande zote mbili