Mwanamke: Namna ya kujiondoa kutoka katika hisia za usaliti wa mapenzi…………….!

Why does this sound familiar? Tatizo la wanaume huwa hamtaki kubadilika na mnaishia kusifia udhaifu wenu. Niliwahi kuambiwa 'im not gonna apologise for that coz I'm gonna do it again sooner than later'. The next time he did the mistake naambiwa sorry, nikajibu wala sijajali, I was expecting that. Akaishia kuchukia yeye. Nikisema happy by choice, namaanisha!
 
Nilikuwa najaribu tu kuuonyesha mfano wa jinsi mimi baba yako nilivyo..............................LOL
Lakini nashukuru mama Ngina wangu keshanizoea na sasa maisha yanasonga mbele...........................Ha ha ha haaaaaa, naamini kama ningekuwa hivyo angekwisha kufa kwa presha
 
Wachumba jf?!....ngoja nisikoment ila tu Mtambuzi jua kwamba kama we hupendi wanawake serious kuna wenzako wanakufa na kuoza kwa ajili ya userious wa mwanamke.Si unaufahamu ule msemo simba mkali lakini......
 
Wachumba jf?!....ngoja nisikoment ila tu Mtambuzi jua kwamba kama we hupendi wanawake serious kuna wenzako wanakufa na kuoza kwa ajili ya userious wa mwanamke.Si unaufahamu ule msemo simba mkali lakini......

Kuna mada nakuandalia kuhusu huo u-serious wako................................LOL
 
He yamekuwa hayo?kesho nakuja na ID mpya
Halafu nimeipenda sana hiyo ID yako.................LOL
Tafadhali usiitelekeze..............................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…