Ukikaa ukatafakari matukio uliyokwisha kutana nayo kwa wanawake utaungana na mimi. Hawa watu wanamaajabu mengi na siku zote hawaishiwi maajabu
Kuna jambo moja kwangu nataka leo mnisaidie kunifafanulia
Haya mambo hutokea hasa sehemu za makazini, mtaani na hata chuoni.
Wadada wanaonyesha kuwa interested na wewe kimahaba kabisa kabisa. Wanaweza kuwa wawili watatu halafu baadae kuna kile kitu kinaitwa automatic nature selection mnajikuta mmegandana na mmoja kati ya hao na kila mtu anaanza kuwatilia mashaka na baadae hata kuwatania tania na hasa kama hamjaingia kwenye ndoa.
Mkiwa kwenye stori utasikia, wewe kaka mtulivu, mpole yaani najisikia raha kuwa na wewe. Uko smart, unajua kupangilia vitu vyako, tabasamu lako zuri, mwingine atasifia macho, mwingine kifua, mwingine nywele nakadhalika nakadhalika kifupi hawaishi kukusifia kila aina ya sifa. Kama umeoa utasikia yaani mkeo anaraha kweli kupata mume kama wewe. Kama hujaoa utasikia yaani utakaye muoa atakuwa na bahati kweli yaani. Stori za kukusifia zinakuwa nyingi hadi unahisi wanakujaza tu
Sasa stori inageuka unapojitosa kutaka majambozi! Yule yule aliyeongoza kukusifia ukimuomba game yeye ndo wa kwanza kukugeuzia kibao
utasikia, yaani siamini kama na wewe una mambo hayo! Ayaah! Kwani umeambiwa mimi sina hisia? Unavyonisifia hutaki kuvifaidi?
Utasikia yaani ulivyo hata hufananii kabisa na unayosema! Eboo! kwani anayefanania yukoje? Sifa ya mwanaume inakamilikaje bila kugegeda?
Mwingine utasikia yaani nilikuwa nakuheshimu kumbe na wewe ndo wale wale! Wale wale kina nani? Alah! Kwani kuna mwanaume anapenda kusifiwa tu bila kupewa tunda?
Mwingine utasikia, Mimi nakupenda tu hivyo ulivyo ila kwa mambo hayo sitaki kabisa, nakuheshima tena unikome. Jamani, kwanini lakini?
Hivi mnapowasifia wanaume halafu wakiwatongoza mnawageuzia kibao mnakuwa mnamaanisha nini? Mnawaza nini lakini?