Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
wewe umeenda mbali na mtoa maada yeye anazungumzia chakula hiki tunachokulaMwanamke kupika nini? chakula hiki hiki au fasihi imetumika hapa ili mtoa mada asionekane amenena vibaya akapigwa ban
Unajua kupika?usiende mbali sana maana hizo mbio😛😛😛😛😛😛😛
haaaaa yamekuwa hayo mimi padri bwanaaUnajua kupika?
Mapadri hampikagi kumbehaaaaa yamekuwa hayo mimi padri bwanaa
sisi tunapikiwa na masista kama wewe na huduma zingine ndogondogo umesahau kwani mhhhhhMapadri hampikagi kumbe
Na nyie mpikage banasisi tunapikiwa na masista kama wewe na huduma zingine ndogondogo umesahau kwani mhhhhh
Mimi sijui kupika
Sijui kabisa[emoji32][emoji32] hujui????
Hufai kuwa mke wa mtuMimi sijui kupika
labda ugali😎
Sijui kabisa
[emoji53] [emoji53]MTU mzima yeyote anapaswa kujua kupika. kumbe utaishije!!! au utakaa kwa mama mpaka lini?
mwanaume asiyejua kupika ni MZIGO and not a father figure.
Ndio nauwezea vizuri😉Ugali ndio hujui kuupika?
Mie sistaHufai kuwa mke wa mtu
Wanapika wengine homeNani anakupikiaga au na wewe ni muhumini wa hotels?
nyinyi masista mkiwa wapi hadi tupike? kufua nguo je? kudeki? zingineeeeeeee unazijua ninazokusaidia unapokujagaaaaaaaaaaaaaaaaaaNa nyie mpikage bana