Mwanamke ni lazima ajue kupika?

Mwanamke ni lazima ajue kupika?

Mwanamke kupika nini? chakula hiki hiki au fasihi imetumika hapa ili mtoa mada asionekane amenena vibaya akapigwa ban
wewe umeenda mbali na mtoa maada yeye anazungumzia chakula hiki tunachokula
hii ipo mimi nilikuwa na boss wangu mke wake hajui kupika tena mtoto wa kinondoni hili lipo INGEKUWA KITANDANI ASIYEJUA NDO MZURI

BIKRA haifanananishwi hiyo jomba
 
MTU mzima yeyote anapaswa kujua kupika. kumbe utaishije!!! au utakaa kwa mama mpaka lini?

mwanaume asiyejua kupika ni MZIGO and not a father figure.
[emoji53] [emoji53]
Pumba ya karne
 
kama hajui kupika wa kazi gani? mi mwenyewe najua kupika iweje yeye asijue kupika?
 
Back
Top Bottom