Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
kukuzalia watotokama hajui kupika wa kazi gani? mi mwenyewe najua kupika iweje yeye asijue kupika?
Wanapika wengine home
Wanapika wengine home
hio ni natural, its not a responsibility.. kupika ni respobsibility ya mwanamke lazima ajue kupika.kukuzalia watoto
Aah bwana mi kazi yangu kukunja nne tunyinyi masista mkiwa wapi hadi tupike? kufua nguo je? kudeki? zingineeeeeeee unazijua ninazokusaidia unapokujagaaaaaaaaaaaaaaaaaa
NdiyoHouse maid unaamanisha?
Maji naweza nikayasahau mpaka yakakaukiaHapana kama wewe ndie ulieko kwa avatar bhasi unajua kupika hata maji ya kunywa? Hujui kupika?
TATIZO la nani unadhani mimi naona ni wazazi hasa hawa wenye mabeki tatuhio ni natural, its not a responsibility.. kupika ni respobsibility ya mwanamke lazima ajue kupika.
umesahau na ileeeeeeeeeeeeeeee sema mimi nakudekeza tuAah bwana mi kazi yangu kukunja nne tu
kuwa na beki 3 sio shida, tatizo ni la wazazi wanaolea watoto wao wa kike kama Malkia Elizabeth.TATIZO la nani unadhani mimi naona ni wazazi hasa hawa wenye mabeki tatu
hiyo zaidi ya malkia mkuu maana hili tatizo lipo kwa hawa wenye mabeki tatu ndio ,maana siwataki thanks wife hapendi pia mtoto mlee ajue majukumu yake hata wa kiume muhimu kumfunza kupika kuna kipindi upo peke yakokuwa na beki 3 sio shida, tatizo ni la wazazi wanaolea watoto wao wa kike kama Malkia Elizabeth.
Na kudekezwa ndo napendaga[emoji4]umesahau na ileeeeeeeeeeeeeeee sema mimi nakudekeza tu
hilo muachie mtoto wewe umeshakua saiviNa kudekezwa ndo napendaga[emoji4]
Akuu mpaka uzeeni hiihilo muachie mtoto wewe umeshakua saivi
When they cook..they cook with passion.the best CHEFS in the world are men
hiyo zaidi ya malkia mkuu maana hili tatizo lipo kwa hawa wenye mabeki tatu ndio ,maana siwataki thanks wife hapendi pia mtoto mlee ajue majukumu yake hata wa kiume muhimu kumfunza kupika kuna kipindi upo peke yako