Mwanamke ni lazima ajue kupika?

Mwanamke ni lazima ajue kupika?

Mm kipika sikatai, ila tatzo n kuosha vyombo na kuwasha lile jiko letu la mkaa
 
Zamani kama mke ameshaolewa halafu ikagundulika hajui kupika basi mume anamrudisha kwao (hamuachi talaka) akafundishwe kupika.kitendo cha kurudishwa ni aibu kubwa kwa familia
 
kuwa na beki 3 sio shida, tatizo ni la wazazi wanaolea watoto wao wa kike kama Malkia Elizabeth.
hiyo zaidi ya malkia mkuu maana hili tatizo lipo kwa hawa wenye mabeki tatu ndio ,maana siwataki thanks wife hapendi pia mtoto mlee ajue majukumu yake hata wa kiume muhimu kumfunza kupika kuna kipindi upo peke yako
 
hahahh, umenikumbusha mbali sana kipindi nipo chuo nilikua naishi kibatch, nilikua napika huku naangalia recipes kupitia google. muhimu sana kujua kupika, mamsapu akiumwa unaingia jikoni unakorofisha tu.
ila hakuna mwanamke anaenoga kama anaejua kupika, ukimwona tu unaskia njaa.
 
Back
Top Bottom