plus U.T.I on fleek [emoji40] [emoji40] [emoji40]ukichunguza humu videm vinavyolalamika ni vibongeeee chupi haikai takoni [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😀 😀 😀Who is wife material???[emoji32][emoji32][emoji32].....you???[emoji32]
[emoji32][emoji32][emoji32]!😀 😀 😀
nadhani h imepotea bahati mbayaHuwezi kuitwa mwanamke kama ujui kupika. Atakua bado ni mtoto.
Sijaelewa
hawana HAYA dadaangu.
siku hizi kuhudumia mwanamke ni KERO kubwa sana kwao, utawasikia "mwanamke anayetaka hela ni kupiga na kusepa".
Tumeamua kuwasaidia sasa wasiwe na shida tutajihudumia wenyewe, sasa wakati natafuta hela wewe pikia wanetu, NAYO HAWATAKI. Eti hujui majukumu yako. Mvivu. na kila jina.
Yani MIZIGO on fleek.
au kachumbari bila ndimu, tastless [emoji40] [emoji40] [emoji40]mwanamke ambae hajui kupika ni sawa na bunduki bila risasi!!
Mnavyodaigi haki sawa, mtakuja kudai kutugegeda siku mojaNa wanaume... Ila mnajitoaga tu
Wewe Valentina hata magimbi unashindwa?Mimi sijui kupika
Sisi hatusemi mtafute chakula ni nyinyi kutokuridhika na kile tunachowapa na neno goal keeper baada ya kuona mnataka vingi nimekuachia elfu 10 hapo hapo unataka ubane za vicoba wakati nimekupa ya matumiziHapo ndipo kosa lilipo. Mlipo muhusisha mwanamke kwenye kutafuta chakula wakati ni kazi ya mwanaume, sasa na kupika mwanaume inambidi apike. Tena mwanaume anasema kabisa kuwa hataki mwanamke goal keeper.
kwanza kwanini mke awe na kazi mimi nisiwe nayo atakudharau haitakiwi mke akuzidi kila kitu WANAJIDAI SANA HAWA PESA UWE JUU HATA ZAKE UNACHUKUAWote lazima mjue kupika siyo kwa ajiri ya mtu yako binafsi. Sasa hivi kama mke ana kazi mume pumzika peleka watoto shule, pika mkeo akitoka kazini akute mambo yako poa. Tunakosea kuamka wote kwenda kutumiwa na waajiri tunauza muda kwa mtu mwingine.
[emoji28] [emoji23] [emoji23] bila ya ss kuchakarika maisha yanakuwa magumu sana. Mwisho unaishia kukimbia alfajiri baada ya kuacha 10,000/= mezani ili usiambiwe kuwa haitoshi wakati ukweli wenyewe ndio huo. Dawa ya kuulia mbu tu tunayatumia ndani ni 7,000/, so just do the maths.Sisi hatusemi mtafute chakula ni nyinyi kutokuridhika na kile tunachowapa na neno goal keeper baada ya kuona mnataka vingi nimekuachia elfu 10 hapo hapo unataka ubane za vicoba wakati nimekupa ya matumizi
wanawake wengi hamridhiki na kiasi mnachopewa unaacha kila kitu ndani lakini bado ukiacha pesa hukuti hata change zote ushamaliza
kuchakarika kwenu wenu hammaanishi na nyinyi mnapenda kutumia neno yangu ni yangu na ya mumeo yenu[emoji28] [emoji23] [emoji23] bila ya ss kuchakarika maisha yanakuwa magumu sana. Mwisho unaishia kukimbia alfajiri baada ya kuacha 10,000/= mezani ili usiambiwe kuwa haitoshi wakati ukweli wenyewe ndio huo. Dawa ya kuulia mbu tu tunayatumia ndani ni 7,000/, so just do the maths.
Atakua mwanamke lessKupika lazma ajue but hata kama sio vyakula Vyote yani hata Ugali na wali ashindweee??