Mwanamke ni lazima ajue kupika?

Mwanamke ni lazima ajue kupika?

hawana HAYA dadaangu.

siku hizi kuhudumia mwanamke ni KERO kubwa sana kwao, utawasikia "mwanamke anayetaka hela ni kupiga na kusepa".

Tumeamua kuwasaidia sasa wasiwe na shida tutajihudumia wenyewe, sasa wakati natafuta hela wewe pikia wanetu, NAYO HAWATAKI. Eti hujui majukumu yako. Mvivu. na kila jina.

Yani MIZIGO on fleek.

[emoji1][emoji1]
 
Sifa ya mwanamke ajue kupika. Ila mi napenda mwanaume anaejua kupika. Sio mwanaume anajua kuchemsha maji tu.
 
Wote lazima mjue kupika siyo kwa ajiri ya mtu yako binafsi. Sasa hivi kama mke ana kazi mume pumzika peleka watoto shule, pika mkeo akitoka kazini akute mambo yako poa. Tunakosea kuamka wote kwenda kutumiwa na waajiri tunauza muda kwa mtu mwingine.
 
Hapo ndipo kosa lilipo. Mlipo muhusisha mwanamke kwenye kutafuta chakula wakati ni kazi ya mwanaume, sasa na kupika mwanaume inambidi apike. Tena mwanaume anasema kabisa kuwa hataki mwanamke goal keeper.
Sisi hatusemi mtafute chakula ni nyinyi kutokuridhika na kile tunachowapa na neno goal keeper baada ya kuona mnataka vingi nimekuachia elfu 10 hapo hapo unataka ubane za vicoba wakati nimekupa ya matumizi
wanawake wengi hamridhiki na kiasi mnachopewa unaacha kila kitu ndani lakini bado ukiacha pesa hukuti hata change zote ushamaliza
 
Wote lazima mjue kupika siyo kwa ajiri ya mtu yako binafsi. Sasa hivi kama mke ana kazi mume pumzika peleka watoto shule, pika mkeo akitoka kazini akute mambo yako poa. Tunakosea kuamka wote kwenda kutumiwa na waajiri tunauza muda kwa mtu mwingine.
kwanza kwanini mke awe na kazi mimi nisiwe nayo atakudharau haitakiwi mke akuzidi kila kitu WANAJIDAI SANA HAWA PESA UWE JUU HATA ZAKE UNACHUKUA
 
Sisi hatusemi mtafute chakula ni nyinyi kutokuridhika na kile tunachowapa na neno goal keeper baada ya kuona mnataka vingi nimekuachia elfu 10 hapo hapo unataka ubane za vicoba wakati nimekupa ya matumizi
wanawake wengi hamridhiki na kiasi mnachopewa unaacha kila kitu ndani lakini bado ukiacha pesa hukuti hata change zote ushamaliza
[emoji28] [emoji23] [emoji23] bila ya ss kuchakarika maisha yanakuwa magumu sana. Mwisho unaishia kukimbia alfajiri baada ya kuacha 10,000/= mezani ili usiambiwe kuwa haitoshi wakati ukweli wenyewe ndio huo. Dawa ya kuulia mbu tu tunayatumia ndani ni 7,000/, so just do the maths.
 
kuchakarika kwenu wenu hammaanishi na nyinyi mnapenda kutumia neno yangu ni yangu na ya mumeo yenu
na ukisema maisha magumu ndio maana mnataka pesa kubwa ya mezani sio kweli 10000 haitoshi kweli na ndani kuna kila kitu mboga tu kweli?
friji lina kila kitu isitoshe sema mnapenda aghali au huko mnakoenda ndo njia yenu ya kuchepuka acheni visingizio vya kutafuta
 
Kupika lazma ajue but hata kama sio vyakula Vyote yani hata Ugali na wali ashindweee??
 
Back
Top Bottom