Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wewe ni ZIGO la karne...[emoji53] [emoji53]
Pumba ya karne
na mwanaume asiyejua kupika wa kazi gani??kama hajui kupika wa kazi gani? mi mwenyewe najua kupika iweje yeye asijue kupika?
na wanaolea watoto wa kiume kuwa MIZIGOkuwa na beki 3 sio shida, tatizo ni la wazazi wanaolea watoto wao wa kike kama Malkia Elizabeth.
hata akioa LAZIMA apikie mkewe na wanawehata wa kiume muhimu kumfunza kupika kuna kipindi upo peke yako
sio wajibu wa mwanaume kujua kupika, ila ukimpata anaejua kupika hio ni bonus kwako.na mwanaume asiyejua kupika wa kazi gani??
uzeee ndo unapiga hodi ujueeeeeAkuu mpaka uzeeni hii
mwanaume anayejua kupika chupi inaloa balaaa,ila hakuna mwanamke anaenoga kama anaejua kupika, ukimwona tu unaskia njaa.
kabisa.na wanaolea watoto wa kiume kuwa MIZIGO
Mimi anasema NI WAJIBU WA MWANAUME WA KARNE YA 21 KUJUA KUPIKA.sio wajibu wa mwanaume kujua kupika, ila ukimpata anaejua kupika hio ni bonus kwako.
haaaa nipike mke wangu yupo hapo sipiki labda akiumwahata akioa LAZIMA apikie mkewe na wanawe
I don't know about these quotes, I just hate cookingWhen they cook..they cook with passion.
When a woman cooks,she cooks with love..[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mpaka nitembelee mkongojouzeee ndo unapiga hodi ujueeeee
pole mke wake THE RICHARDShaaaa nipike mke wangu yupo hapo sipiki labda akiumwa
ah ah ah ah, sasa we ukiwa mamsapu wangu si itakubidi uvae pampas kabisamwanaume anayejua kupika chupi inaloa balaaa,
Wewe wasema.. hujakosea kabisa ulivyoanza sentensi yako.Mimi anasema NI WAJIBU WA MWANAUME WA KARNE YA 21 KUJUA KUPIKA.
kumbe nakuharibu huku kukudekeza nimegundua hiliMpaka nitembelee mkongojo
kumbe unajua kupika, kwa kweli pampas zitahusu.ah ah ah ah, sasa we ukiwa mamsapu wangu si itakubidi uvae pampas kabisa
pindi nampikia yeye anafanya nini labda?pole mke wake THE RICHARDS