Ambao hawapendi ni hila zao tu! To be honest wanawake wanakuwa na mvuto zaidi!!!
mmh,mkuu kuna kaukweli ndani yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambao hawapendi ni hila zao tu! To be honest wanawake wanakuwa na mvuto zaidi!!!
atapitwaje na ndio sled anazozipenda
cc OLESAIDIMU
atapitwaje na ndio sled anazozipenda
cc OLESAIDIMU
Bora useme wewe shosti!
Utaula wa chuya!!!!!!!
Yaani acha tu best,nina shida mimi! Kila ninapotoa mguu naye anakanyaga hapo hapo!
si ndio raha lakin.......somebody keeping an eye on you LOL
kwa uvivu wake wa kuchambua brother........
na ukitaka uone ubaya wa demu yoyote mrembo kimuonekano,avae nusu uchi au awe uchi kabisa, halafu akimbie.namainisha ule ukimbiaji wa uoga kama vile anakimbizwa na kitu cha hatari.utacheka mpaka basi.
si ndio raha lakin.......somebody keeping an eye on you LOL