Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
hapo Kaizer umesema , ndio hasa ulivyo huo msemo.
mwanamke nyonga makalio majaaliwa ,
nyonga inayosemewa hapa sio muonekano wa kiuno chenyewe , kinachomaanishwa hapa ni ule uwezo wa mwanamke whether ni namba nane ,saba au tisa au moja haijalishi kinachojalisha ni uwezo wake wa kuizungusha hiyo nyonga iwe kwenye muziki au sita kwa sita.
ndo maana wakasema mwanamke nyonga kwa maana kwamba hata usipojaaliwa hayo makalio makubwa unaweza ukajaaliwa kuzungusha kiuno en thats all counts to them, na pia waweza kuwa na makalio kama furushi na pia ukashindwa kukizungusha kiuno.
upo hapo fidel hiyo addiction yako ya kupenda kujiexpress yourself has nothing to do with this statement.
Sasa hapa atakayebisha basi tutajua tu ni mbishi kwa asili ila hapando naona kazi imeisha...lol asante kwa ufafanuzi!