Huu msemo "mwanamke nyonga" una maana gani ndugu ? Je ni fumbo au lugha fasaha? je kwa mwanaume inakuwaje? Tusaidiane kueleweshana!
Kimaumbile
Nyonga ndo sehemu/kiungo pekee chenye,(ukiachilia mbali tofauti za baiolojia zetu),
kumtofautisha mwanamke Vs Mwanaume,
unaweza kuta mwanaume ana sura nzuri,
hips, makalio makubwa, nywele nzuri,macho ya kurembua,
midomo ya kunyonya, sauti ya kuvutia, matiti na vikolombwezo,
vingine vyote tena pengine kumzidi hata manamke!!!!!
Lakini ni nyonga pekee itakayomtofautisha kati yake na mwanamke,
Mwanamke ataonekana ni mwanamke kwasababu ya
NYONGA YAKE........
Kingono
Wataalam wengi wanasema kuwa ni nyonga peke yake,
ndo inayoleta ladha ya kingono katika 6 kwa 6 kwa upande wa mwanamke,
hata kama ukiwa na mazuri yote sehemu nyingine, lakini nyonga ndo mwisho wa reli,
Karibuni kahawa wapendwa!!!!!!!