menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
mwanamke nyonga maana yake kiuno kama panga boy.au feni. Yaani akianza kuikata basi itakuwa nomaaa! Kuna watoto wanaitwa baikoko kutoka Tanga.wao wanadai kiuno au nyonga wamepewa na mamazao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afu mwanaume nini?????
mnatutumia sana wanaume kama watumwa wenu......:shut-mouth:
Wataka kujua mwanamke nyonga? Tafuta wale wadada wa Khanga moko ndembendembe. Wako pande za Mwananyamala.[/QUOTE]
Na magomeni
Huu msemo "mwanamke nyonga" una maana gani ndugu ? Je ni fumbo au lugha fasaha? je kwa mwanaume inakuwaje? Tusaidiane kueleweshana!