Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Pamoja na mwanamke kuwa na urembo wa aina mbalimbali lakini pochi ni mojawapo. Kama mwanamke utavaa vizuri lakini kama hutabeba pochi nzuri unapoteza mvuto. Pochi pia imekuwa ikikuonyesha mwanamke hadhi yake aliyonayo.
Pochi hiyo hiyo imekuwa na msaada wa kubeba vitu muhimu kama kikoi, choclate nk. Tena sikuhizi utakuta vipodozi makeup, kioo, lipstic, wanja na vinginevyo. Pia pochi imekuwa msaada kwa kuhifadhi pesa za matumizi mbalimbali. Pochi hiyohiyo imekuwa ikitumika kama kuhifadhi nguo za kutokea.
Pia pochi ya mwanamke imekuwa na msaada mkubwa hasa aendapo mahali. Lakini pamoja na hayo yote mwanamke anashauriwa kubeba pochi nzuri.
Maana pochi inaonyesha hadhi ya mtu.