Mwanamke Pochi nzuri

Mwanamke Pochi nzuri

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Pamoja na mwanamke kuwa na urembo wa aina mbalimbali lakini pochi ni mojawapo. Kama mwanamke utavaa vizuri lakini kama hutabeba pochi nzuri unapoteza mvuto. Pochi pia imekuwa ikikuonyesha mwanamke hadhi yake aliyonayo.

Pochi hiyo hiyo imekuwa na msaada wa kubeba vitu muhimu kama kikoi, choclate nk. Tena sikuhizi utakuta vipodozi makeup, kioo, lipstic, wanja na vinginevyo. Pia pochi imekuwa msaada kwa kuhifadhi pesa za matumizi mbalimbali. Pochi hiyohiyo imekuwa ikitumika kama kuhifadhi nguo za kutokea.

Pia pochi ya mwanamke imekuwa na msaada mkubwa hasa aendapo mahali. Lakini pamoja na hayo yote mwanamke anashauriwa kubeba pochi nzuri.

Maana pochi inaonyesha hadhi ya mtu.
 
Imekaa njema. Ila nashauri bora mtu aishi maisha yake atakayo. Maswala ya hadhi yatakupotezea muda. Hadhi kama ipo ipo tu.
IMG_20220712_114652_521.jpg
 
Mkuu, hujui tu wanawake wanajisahau wengi wao huvaa vizuri sana ila pochi ni ronya
Bora hao. Kuna wanawake wanapendeza, halafu dada wa kazi anaambatana naye akiwa ndala mguu pande nguo ndo usiseme aibu
 
Ngoja waje kuchukua miongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mwanamke wangu anabeba wallet tu kama mimi.

Hana pochi wala clutch.
 
Haswaa pochi ni muhimu kwa mwanamke.
Unaweza pata period isiyokua na hodi Wala taarifa unajikuta umeadhirika, lakin ukiwa na pochi yenye Pedi na mtandio ndani ake bas unajistiri saafi kabisa.
 
Back
Top Bottom