Ngoja nmuulize wa kwangu kama anakubali transfer. Sema jiandae kupigiwa simu kila baada ya 1 hour hata saa 5 usiku.Naitwa jack umri wang miaka 32 natafuta mwanamke tuwe na mahusiano badae ndoa umri kuanzia miaka 26 mpaka 35 awe ameajiriwa.kwa aliye tayari karibu pm
Hawataki shida za ukooHuwa nashangaa saana hapa jukwaani kigezo kikuu Cha uchumba ni Ajira au financial stability.
Ni Kama watu hawajawahi kuwa kwenye mahusiano.
Ndoa Zina mengi zaidi ya mtu kuwa au kutokuwa na Ajira.Hawataki shida za ukoo
Unatoa siri zako [emoji23][emoji23][emoji23]wapo lakini ni wajeuri.
Ajira ni hali ya muda tu....tunashindwa kulielewa hili.Kigezo cha mwenza mwenye ajira huwa nakiona kwenye bandiko za wanawake.