Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 323
Kwa hakika upweke ni mbaya sana unaweza jikuta unajinyonga ndani Peke yako, ninatafuta mwanamke umri kuanzia 20 mpka 28 , awe anajielewa na anapenda kujishughulisha, ila awe tayari kuhamia kwangu tuishi .
Mimi vigezo vyangu nina umri Kati 25-29, dini mkristo, makazi dar es salaam, kipato kila siku naweza weka Akiba sio chini ya TSH 30000 baada ya matumizi binafsi,
We mwanamke ambaye unachohitaji ni kupendwa, heshimiwa na kujaliwa njoo ufurahie maisha. Nipo tayari mwisho WA mwaka kama tutaenda vizuri na Mungu akijalia nikatoe mahari,
Sawa Mkuu, nimekuelewa, Huku wapo WA Aina yote. Sio lazima atoke kanisani/mtaani, hapa hapa ndo penyeweAcha Ujinga, katafute wanawake mtaani au kanisani sio humu.
Fulsa, Fulsa, Fulsa,Njoo tuyajenge baba watoto 🙃
😀😀😀 emu tulale kwanza.Fulsa, Fulsa, Fulsa,
Enwei, Usiache kunipa card mdogo wangu.!!
Uzi ufungweNjoo tuyajenge baba watoto [emoji854]
Naona umeamua kujipa kazi ya unajimuUmri wa anayetafutwa 20-28
Umri wa mtafutaji 25-29
Kwa kutumia Gagagigikoko theorem, wewe utakuwa na 29
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaUzi ufungwe
Shemeji ameshapatikana full stop!
Mleta uzi wala sio mjinga kutafuta mwenza hapa. Maana hata hapa ni mtaa wa kidijitali. Waliopo physical mitaani ndio hao hao wapo humu. Hujiulizi kwa nini unaweka pesa zako kwenye simu na sio waleti? Kwa nini course nyingine zinafundihswa kwa njia ya kidijitali kutoka kwenye physical class. Hata vitabu vya Mungu na mahubiri siku hizi vipo kwenye simu. Hayo ndio maendeleo ya technolojia mwache mleta mda atafute mwenza wake hapa.Acha Ujinga, katafute wanawake mtaani au kanisani sio humu.
Hajiulizi Kwa nini tunatumia Uber badala ya kwenda kijiweniM
Mleta uzi wala sio mjinga kutafuta mwenza hapa. Maana hata hapa ni mtaa wa kidijitali. Waliopo physical mitaani ndio hao hao wapo humu. Hujiulizi kwa nini unaweka pesa zako kwenye simu na sio waleti? Kwa nini course nyingine zinafundihswa kwa njia ya kidijitali kutoka kwenye physical class. Hata vitabu vya Mungu na mahubiri siku hizi vipo kwenye simu. Hayo ndio maendeleo ya technolojia mwache mleta mda atafute mwenza wake hapa.
Jamaa anataka kukurudisha analogiaHajiulizi Kwa nini tunatumia Uber badala ya kwenda kijiweni
Mabadiliko huwa yanaanza taratibuJamaa anataka kukurudisha analogia
Uzuri huu ni mtizamo, usifanyw uwe sheriaSiku zote mtazamo wangu ni kwamba. Mtu yeyote anayetafuta mchumba kwenye mtandao ana matatizo. Na mtu yeyoteanayekubali offer ya mchumba kupitia mtandao pia anamatatizo.
Haingii akili kwamba katika maeneo yote unayo zunguka kila siku, unakosa mchumba.
Utafutaji mwema
|