Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Jamaa na mpenzi wake wa kudumu wanaotarajia kuingia ulimwengu wa ndoa few years to come currently wamepanga room na sebule. Mwanamke alimpanga jamaa kuwa kuna dada yake anapita mkoa kumuona na atalala kwa usiku mmoja kesho yake aendelee na safari yake.

Jamaa kwa heshima akasema freshi akaamua ampe nafasi akaenda kwenye mishe zake ikiwa yeye atajua pa kulala usiku ukifika. Ila kadiri muda ulivyokwenda akaingiwa na maseke, mawasiliano kwa siku hio yaliyumba. Alitegemea kupata feedback juu ya mgeni ila mpenzi wake akawa kimya hadi kufikia mida ya saa 10 jioni jamaa kumpigia simu mwanamke vipi huyo mgeni kafika salama? Mwanamke akapokea na kudai yupo busy kidogo boss yupo around wana kikao atapiga meeting ikiisha.

Mpaka kufikia saa 2 usiku mwanamke yupo kimya hakupiga simu wala nini. Jamaa kumpigia simu akawa hapokei, ikabidi kumtumia sms. Mwanamke ndio kujibu kuwa alifika salama na wapo wote. Kujaribu kupiga tena mwanamke akawa hapokei simu, akamtext tena mko wapi kwahio, mwanamke akajibu kuwa wapo mjini bado hawajarudi nyumbani kuna vitu wanaangalia ila soon watarudi. Akili ikazidi kumcheza jamaa. Inawezekanaje mgeni aliesafiri zaidi ya masaa 8 awe na nguvu za kuzurura mjini na hasa ni dada mtu mzima?

Ndipo jamaa alipoamua kuingia deep zaidi kifikra, akaamua afatilie kwa siri ujio wa mgeni pale nyumbani. Alienda maeneo ya nyumbani kimya kimya akajitega gizani usawa ambao ataona movement ya mgeni kuingia ndani. Kilichofata ni kweli mwanamke alirudi akaingia ila hakuambatana na mgeni kama alivyodai. Aliingia ndani akatua vitu kisha akaenda nje kwa dakika kadhaa kisha akarudi ndani.

Jamaa alimpigia simu mwanamke kwa utulivu wote akamueleza alipoamua kupumzikia kwa usiku huo kisha akamhoji kama ameshafika home, mwanamke akadai ndio, kuhusu siku yake ilivyokwenda na kuhusu mgeni akadai wote wako freshi. Mwanamke aliongea kwa shauku ilia kumpoteuza maboya jamaa kisha aliaga akakata simu akidai anamwandalia maji na chakula dada yake ambapo aliahidi atapiga simu baada ya muda kidogo. Jamaa akakata simu ikiwa amenote kitu tayari hakukuwa na huyo mgeni aliesemekana yupo, hakusit kuendelea ku observe movement.

Baada ya dakika 10 pikipiki iliwasili nje ya geti. Mwanamke akatoka na kumuendea jamaa aliyekuja na pikipiki wakaongea kidogo kisha akaingia naye ndani ya geti akiwa anamkokota na kumfungulia mlango wa nyumba akamuingiza ndani kisha kumbebea viatu vyake na kuviingiza ndani kisha akafunga mlango.

Jamaa akiwa katika angle of elevation alishuhudia mchezo wote na haikuchukua dakika 15 jamaa akauendea mlango wake na kisha kugonga, mwanamke alifungua hakuamini alichoona,,,ilikuwa ni jamaa yake ndio akawa ameshamfumania.

Mwanamke alikosa amani ghafla na kauli ilikata kabisa hakuweza ongea lolote, akahisi kama jamaa atamuua labda, kuingia chumbani akamkuta mwamba alieingia na pikipiki yupo kitandani kajiachia na helmet kashalivua liko pembeni akisubiria maji ya kuoga ajipakulie mbususu ya mwanamke wa watu.

Wajua kilichofuata ilikuwa nini?

Kila kukicha kuna somo jipya kuhusu hawa ndugu zetu. Hakika wanawake ni viumbe pekee kuwahi kutokea ulimwenguni. Tuishi nao kwa akili na machale, unafiki na ubinafsi huwa hautengamani nao hao daima! Sorry for the pain ninja Medrick.
 
Mwanaume wako alishawahi kudanganya ili aingize mwanamke ndani mnapoishi pamoja!? Do you think hilo ni jambo jepesi witty!
Anaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!

Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
 
angempangusa mikono huyo boda boda ili ajikaze
 
Dah, pole sana ninja medrick
 
Si mnasemaga sisi walimu wetu vipofu? Mara hii tuna akili nyingi[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hajar
Simara
Biologically mwanamke ana akili nyingi kuliko mwaume ( look the brain hemisphere of those of men and women) mwanamke anazo gram nyingi sana za ubongo wake na ubongo wa mwanamke upo scattered ( umetawanyika au kuachana kidogo) kwa hiyo inakuwa ni vigumu kufanya maamuzi sahihi kwa kuwa kuna vitu vingi kichwani mwake lkn havipo pamoja

Kama ilivyokawaida ya jamii ya wanadamu wakitawanyika au kutengana hawawezi kufanya maamuzi sahihi,ndyo maana approach ya kuyakabili matatizo kwa mwanamke na mwanaume huwa ni tofauti...mwanamke akipata tatzo huwa anaanza kulia baada ya hapo anamsimulia mtu au watu au nduguze au marafiki then anaachana na hilo tatzo kwa kuwa akili yake inamtuma kufikir kuwa tatzo limeisha

Mwanaume huwa anayapokea matatizo na kuyafanyia analysis then anaanza kuyatatua kwa kuyapa kipaumbele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…