Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Anaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!

Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
Ilikuwaje wit hebu tupe somo,naweza kujifunza kitu kutoka kwako
 
Jamaa na mpenzi wake wa kudumu wanaotarajia kuingia ulimwengu wa ndoa few years to come currently wamepanga room na sebule. Mwanamke alimpanga jamaa kuwa kuna dada yake anapita mkoa kumuona na atalala kwa usiku mmoja kesho yake aendelee na safari yake.

Jamaa kwa heshima akasema freshi akaamua ampe nafasi akaenda kwenye mishe zake ikiwa yeye atajua pa kulala usiku ukifika. Ila kadiri muda ulivyokwenda akaingiwa na maseke, mawasiliano kwa siku hio yaliyumba. Alitegemea kupata feedback juu ya mgeni ila mpenzi wake akawa kimya hadi kufikia mida ya saa 10 jioni jamaa kumpigia simu mwanamke vipi huyo mgeni kafika salama? Mwanamke akapokea na kudai yupo busy kidogo boss yupo around wana kikao atapiga meeting ikiisha.

Mpaka kufikia saa 2 usiku mwanamke yupo kimya hakupiga simu wala nini. Jamaa kumpigia simu akawa hapokei, ikabidi kumtumia sms. Mwanamke ndio kujibu kuwa alifika salama na wapo wote. Kujaribu kupiga tena mwanamke akawa hapokei simu, akamtext tena mko wapi kwahio, mwanamke akajibu kuwa wapo mjini bado hawajarudi nyumbani kuna vitu wanaangalia ila soon watarudi. Akili ikazidi kumcheza jamaa. Inawezekanaje mgeni aliesafiri zaidi ya masaa 8 awe na nguvu za kuzurura mjini na hasa ni dada mtu mzima?

Ndipo jamaa alipoamua kuingia deep zaidi kifikra, akaamua afatilie kwa siri ujio wa mgeni pale nyumbani. Alienda maeneo ya nyumbani kimya kimya akajitega gizani usawa ambao ataona movement ya mgeni kuingia ndani. Kilichofata ni kweli mwanamke alirudi akaingia ila hakuambatana na mgeni kama alivyodai. Aliingia ndani akatua vitu kisha akaenda nje kwa dakika kadhaa kisha akarudi ndani.

Jamaa alimpigia simu mwanamke kwa utulivu wote akamueleza alipoamua kupumzikia kwa usiku huo kisha akamhoji kama ameshafika home, mwanamke akadai ndio, kuhusu siku yake ilivyokwenda na kuhusu mgeni akadai wote wako freshi. Mwanamke aliongea kwa shauku ilia kumpoteuza maboya jamaa kisha aliaga akakata simu akidai anamwandalia maji na chakula dada yake ambapo aliahidi atapiga simu baada ya muda kidogo. Jamaa akakata simu ikiwa amenote kitu tayari hakukuwa na huyo mgeni aliesemekana yupo, hakusit kuendelea ku observe movement.

Baada ya dakika 10 pikipiki iliwasili nje ya geti. Mwanamke akatoka na kumuendea jamaa aliyekuja na pikipiki wakaongea kidogo kisha akaingia naye ndani ya geti akiwa anamkokota na kumfungulia mlango wa nyumba akamuingiza ndani kisha kumbebea viatu vyake na kuviingiza ndani kisha akafunga mlango.

Jamaa akiwa katika angle of elevation alishuhudia mchezo wote na haikuchukua dakika 15 jamaa akauendea mlango wake na kisha kugonga, mwanamke alifungua hakuamini alichoona,,,ilikuwa ni jamaa yake ndio akawa ameshamfumania.

Mwanamke alikosa amani ghafla na kauli ilikata kabisa hakuweza ongea lolote, akahisi kama jamaa atamuua labda, kuingia chumbani akamkuta mwamba alieingia na pikipiki yupo kitandani kajiachia na helmet kashalivua liko pembeni akisubiria maji ya kuoga ajipakulie mbususu ya mwanamke wa watu.

Wajua kilichofuata ilikuwa nini?

Kila kukicha kuna somo jipya kuhusu hawa ndugu zetu. Hakika wanawake ni viumbe pekee kuwahi kutokea ulimwenguni. Tuishi nao kwa akili na machale, unafiki na ubinafsi huwa hautengamani nao hao daima! Sorry for the pain ninja Medrick.

mie ningemchukua.. huyo jama alafu ningemwambia avae helmet yake vizuri.. alaf ningejifungia nae ndani.. nachukua BAKORA au natumia ngumi tu.. napiga kote.. kichwani simpigi maana nitamuua
 
Anaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!

Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
Pole na yaliyo kukuta huko nyuma.(before now)
 
Haahaa!! Hizi ni kauli za wanaume wajinga na wanaopenda kufikiri mambo mepesi mepesi. Mwanamke hawezi kumzidi mwanaume halisi akili. labda hao wajinga wajinga na wanaopenda mambo mepesi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom