Kama mwanaume, ukitaka mapenzi, washa tv angalia tamthilia.
Siku zote tengeneza mikakati ya hatua za kuchukua katika scenario tofauti tofauti.
Kuwa na protocol kama za defense forces. Kwa sababu mara nyingi tatizo huwa sio fumamizi, bali kinachofuata baada ya hapo.
Kuwa prepared, na kumbuka kuwa, kama kwa binadam wengine, utaheshimiwa na mkeo pale tu atakapokuogopa.
Sio woga wa kumpiga, bali aelewe kuwa pamoja na kumjali kote, she is still expendable. And you can pull everything anytime.
Let her know you as her man, as her husband.
Lakini embrace your mistery.
Let her be scared and wonder what you are capable of.