mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Na haitakaa itokee wakatuzidi akili ..Haijawahi tokea mwanamke akawa na akilakili kuliko dume wacha wapuuzi wajifariji tu. Ukiona mwanaume katulia tu wakati anafanyiw ushenzi ujue kaamua kupuuzia tu. Hawa ni wengi!
Dhaifu kwa mnayoyasikia. ..yan MTU akiwajaza kidogo mnajaa ndo maana mwenzenu kachepuka na bodaboda afu alivyo mpuuz zaidi kaenda naye nyumban kwa jamaa akeTulivyo wadhaifu kwenye nini Mkuu?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na haitakaa itokee wakatuzidi akili ..
Huu upuuzi ndio unaowagharimu vijana wengi. Waoane kwanza ndio waishi pamoja, jambo linatokea mtu anaishia kulalamika tu maana hana mamlaka yoyote juu ye mwenzie.Jamaa na mpenzi wake wa kudumu wanaotarajia kuingia ulimwengu wa ndoa few years to come currently wamepanga room na sebule
Una uhakika gani Mkuu?Dhaifu kwa mnayoyasikia. ..yan MTU akiwajaza kidogo mnajaa ndo maana mwenzenu kachepuka na bodaboda afu alivyo mpuuz zaidi kaenda naye nyumban kwa jamaa ake
Available[emoji4] [emoji4]Asante mkuu...yashaisha! New life now
Una uhakika gani Mkuu?
Sasa hapo huyo mwanaume si ndio Ndezi nini kikimshawishi kuondoka nyumbani wakati hata mgeni mwenyewe hajamuona.
Hakuna aliyejazwa hapa.
Mmh. Ustaarabu gani huo Mkuu?Jamaa sio ndezi katumia ustarabu tuu coz bado anaishi kisela tuu na demu wake sio kwamba wanaishi nyumbani ..ndo maana unaona kabisa akaondoka awaachie gheto .. Then unapaswa ujue kuna watu n wastarabu na wanajua kuheshimu watu ...huyu bwana derick anaonekana ni mstarabu sana ..ila we unamuona ndezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we hujasoma vizuri huu mkasa .au ...huoni jamaa alikua anapiga simu Mara kwa Mara kujua km mgeni kafika ila ndo response ya demu wake ikawa ndogo ....ila pengine alitaka kujua km amefika ili Akamsalimie. ..ila baada ya kuona mambo km hayaheleweki kwavile jamaa ana utimamu wa akili ndo akaenda kulifuatilia hili swala ..so jamaa hajakosea kokote ..ila anaonekana ana utu afu pia n mstarabu sana sema kwavile we unamtetea mwenzako lazima uzidi kumlaumu jamaa. ..Mmh. Ustaarabu gani huo Mkuu?
Hahahaaa. Hivyo ungekuwa we pia ungempisha mgeni usiyemjua anafananaje. Duuh. Pole sana aiseee
Niseme tu sio ustaarabu huo.
Mmh. Hivyo salamu za simu unazibariki kuliko za kuonana eee? Huoni hizo salamu za simuni ndio mwanzo wa kudanganywa au hulijui hilo? Maana waeza tafutiwa hata muudumu wa Bar kisha akakwambia ndio yule mgeni. πππππ jiongeze broo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] we hujasoma vizuri huu mkasa .au ...huoni jamaa alikua anapiga simu Mara kwa Mara kujua km mgeni kafika ila ndo response ya demu wake ikawa ndogo ....ila pengine alitaka kujua km amefika ili Akamsalimie. ..ila baada ya kuona mambo km hayaheleweki kwavile jamaa ana utimamu wa akili ndo akaenda kulifuatilia hili swala ..so jamaa hajakosea kokote ..ila anaonekana ana utu afu pia n mstarabu sana sema kwavile we unamtetea mwenzako lazima uzidi kumlaumu jamaa. ..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bwana ila .tukirudi kwenye uhalisia hapo msaliti ni nani. .achilia mbali kwamba jamaa ni boya ..nani hapo anazingua kwenye hayo mahusiano??Mmh. Hivyo salamu za simu unazibariki kuliko za kuonana eee? Huoni hizo salamu za simuni ndio mwanzo wa kudanganywa au hulijui hilo? Maana waeza tafutiwa hata muudumu wa Bar kisha akakwambia ndio yule mgeni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jiongeze broo.
Niko ka wewe tu unavyomtetea jamaa wakati kikawaida tu anaonekana ameyumba na hajui kulilinda jimbo lake kwa kukaba mpaka penalt eti kisa tu nimstarabu. Teh teh teh.
Hahahaaa. Ni mwanamke ila chanzo cha usaliti kukamilika ni huyo mwanaume wake. Maana angekaba wala asingesalitiwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bwana ila .tukirudi kwenye uhalisia hapo msaliti ni nani. .achilia mbali kwamba jamaa ni boya ..nani hapo anazingua kwenye hayo mahusiano??
Hao wameoana?Kuchagua kuoa ni kuchagua kuishi na adui ndani ya nyumba.
Mwanamke anaweza igiza anakupenda Sana kumbe ana Mambo yake anayoenda kuyafanya akiwa mbali na wewe