Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hawana akili kuliko sis.. only wako tricky sana.Wanawake wanaakili nyingi sana kuliko sisi wanaume...ndyo maana huwa nawaheshimu na kuwaogopa!
Mm ningepiga simu kwa huyo dada ake. Machale yangenicheza tu lazima.Huyo jamaa mwenyewe alitaka kudanganywa sababu kwani mgeni hawezi lala hapo sebleni au si angesubiri aje ndipo wajue namna ya kumlaza huyo mgeni au kama ndio jamaa kuondoka angeondoka.
Mwenyewe ndio sababu ya kufanyiwa hiyo mnayoiita akili sababu hajui kijiongeza. Pole kwake.
Hivyo kachukua maamuzi gani?
Na wavivu kufikiriKamwe mwanamke hawezi mzidi mwanaume akili. Hizi ni kauli za wanaume wajinga na wasiolelewa vyema
Hana namba ya dada. Hao ni wazinzi tu ambao hawajahalalisha mahusiano yao. Lililompata si la kumsikitikiaMm ningepiga simu kwa huyo dada ake. Machale yangenicheza tu lazima.
Au yupo katika deep investigation ila tu huw hawasemi. Siku akikamilisha report anamwaga mboga ugali mpaka na jiko anazima.Haijawahi tokea mwanamke akawa na akilakili kuliko dume wacha wapuuzi wajifariji tu. Ukiona mwanaume katulia tu wakati anafanyiw ushenzi ujue kaamua kupuuzia tu. Hawa ni wengi!
Namsikitikia maana huenda kuwa alikuwa na plan ya kuoa, maybe ali mliona kwamba huyu ni wife wake wa future ndio maana akamuamini.Hana namba ya dada. Hao ni wazinzi tu ambao hawajahalalisha mahusiano yao. Lililompata si la kumsikitikia
Kuoana Tena!Hao wameoana?
Chanzo ni nyinyi inaonekana yu mzoefu ndo maana umejibuKwani wanaume hamfanyagi hivi vitu? Mbona nyie ndo vinara!
Waletewe tu mimba za michepuko watajua wenyewe. Mbona watoto wa nje mnawaletea? What goes around comes around, wadada now wamechafukwa mtalia sana..zoea tu mkuu.Kuoana Tena!
Watu wanaletewa mimba ya michepuko ndani ya ndoa unafanya mchezo?
Ni Mara Mia mwanaume anayechepuka uchafu wake anauacha huko huko kuliko mwanamke kuchepuka.
Uchafu wake anakuja nao ndani ya ndoa.
Mimi huwa nawashangaa hata wanaume wanaoenda chumvini kisa kuwaridhisha wanawake.
Yaani unakunywa mchuzi waliouacha wenzio unajiona bonge la mwanaume.
Unamridhisha mwanamke!!
Ambaye hata Mungu anajiuliza, how did I created this creature?
Umeonaeee. Huo ndio uanaume sasa.Mm ningepiga simu kwa huyo dada ake. Machale yangenicheza tu lazima.
☻☻☻ ungepiga mkuu"" angekuekea magic voice ukadhan unaongea na dada yake kumbe kidume chenzako""""Umeonaeee. Huo ndio uanaume sasa.
PoleAnaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!
Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
Na kweli usemalo Mkuu.☻☻☻ ungepiga mkuu"" angekuekea magic voice ukadhan unaongea na dada yake kumbe kidume chenzako""""
N.b Uaminifu ni bora kwenye mahusiano pia kama mwanamke ana hofu na Mungu hawezi kumsaliti mumewe""""
Kweli dada mkubwa"""Na kweli usemalo Mkuu.
Hahahaaa. Jamaaani.Kweli dada mkubwa"""
Nikiacha kunywa kimpumu nareply vitu vya msingi☻☻☻
Santeee mkuuPole