Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Jamaa na mpenzi wake wa kudumu wanaotarajia kuingia ulimwengu wa ndoa few years to come currently wamepanga room na sebule. Mwanamke alimpanga jamaa kuwa kuna dada yake anapita mkoa kumuona na atalala kwa usiku mmoja kesho yake aendelee na safari yake.

Jamaa kwa heshima akasema freshi akaamua ampe nafasi akaenda kwenye mishe zake ikiwa yeye atajua pa kulala usiku ukifika. Ila kadiri muda ulivyokwenda akaingiwa na maseke, mawasiliano kwa siku hio yaliyumba. Alitegemea kupata feedback juu ya mgeni ila mpenzi wake akawa kimya hadi kufikia mida ya saa 10 jioni jamaa kumpigia simu mwanamke vipi huyo mgeni kafika salama? Mwanamke akapokea na kudai yupo busy kidogo boss yupo around wana kikao atapiga meeting ikiisha.

Mpaka kufikia saa 2 usiku mwanamke yupo kimya hakupiga simu wala nini. Jamaa kumpigia simu akawa hapokei, ikabidi kumtumia sms. Mwanamke ndio kujibu kuwa alifika salama na wapo wote. Kujaribu kupiga tena mwanamke akawa hapokei simu, akamtext tena mko wapi kwahio, mwanamke akajibu kuwa wapo mjini bado hawajarudi nyumbani kuna vitu wanaangalia ila soon watarudi. Akili ikazidi kumcheza jamaa. Inawezekanaje mgeni aliesafiri zaidi ya masaa 8 awe na nguvu za kuzurura mjini na hasa ni dada mtu mzima?

Ndipo jamaa alipoamua kuingia deep zaidi kifikra, akaamua afatilie kwa siri ujio wa mgeni pale nyumbani. Alienda maeneo ya nyumbani kimya kimya akajitega gizani usawa ambao ataona movement ya mgeni kuingia ndani. Kilichofata ni kweli mwanamke alirudi akaingia ila hakuambatana na mgeni kama alivyodai. Aliingia ndani akatua vitu kisha akaenda nje kwa dakika kadhaa kisha akarudi ndani.

Jamaa alimpigia simu mwanamke kwa utulivu wote akamueleza alipoamua kupumzikia kwa usiku huo kisha akamhoji kama ameshafika home, mwanamke akadai ndio, kuhusu siku yake ilivyokwenda na kuhusu mgeni akadai wote wako freshi. Mwanamke aliongea kwa shauku ilia kumpoteuza maboya jamaa kisha aliaga akakata simu akidai anamwandalia maji na chakula dada yake ambapo aliahidi atapiga simu baada ya muda kidogo. Jamaa akakata simu ikiwa amenote kitu tayari hakukuwa na huyo mgeni aliesemekana yupo, hakusit kuendelea ku observe movement.

Baada ya dakika 10 pikipiki iliwasili nje ya geti. Mwanamke akatoka na kumuendea jamaa aliyekuja na pikipiki wakaongea kidogo kisha akaingia naye ndani ya geti akiwa anamkokota na kumfungulia mlango wa nyumba akamuingiza ndani kisha kumbebea viatu vyake na kuviingiza ndani kisha akafunga mlango.

Jamaa akiwa katika angle of elevation alishuhudia mchezo wote na haikuchukua dakika 15 jamaa akauendea mlango wake na kisha kugonga, mwanamke alifungua hakuamini alichoona,,,ilikuwa ni jamaa yake ndio akawa ameshamfumania.

Mwanamke alikosa amani ghafla na kauli ilikata kabisa hakuweza ongea lolote, akahisi kama jamaa atamuua labda, kuingia chumbani akamkuta mwamba alieingia na pikipiki yupo kitandani kajiachia na helmet kashalivua liko pembeni akisubiria maji ya kuoga ajipakulie mbususu ya mwanamke wa watu.

Wajua kilichofuata ilikuwa nini?

Kila kukicha kuna somo jipya kuhusu hawa ndugu zetu. Hakika wanawake ni viumbe pekee kuwahi kutokea ulimwenguni. Tuishi nao kwa akili na machale, unafiki na ubinafsi huwa hautengamani nao hao daima! Sorry for the pain ninja Medrick.
Duh hiyo ilikuwa inafanywa na aliyekuwa mke wangu yaani nikienda kazini yeye anawasiliana na mchepuko anakuja nyumbani wanafanya yao anaondoka. Sasa tulikuwa tunaingilia parking ya gari ambayo ilikuwa bado haijasakafiwa na kuona chata za viatu vikubwa na mle ndani hakuna mtoto mwenye chata ya viatu vile. Nikamwuliza hapa nyumbani leo alikuwa mgeni akasema hapana hakuja mtu yeyote na mimi sijaondoka leo. Nikanyamaza...nikawa natafuta kumkamata nikafanikiwa...usipuuze hata dalili ndogo zinazooneka ...kama hupendi tabia ya michepuko ila kama unapenda usijaribu kutaka kujua maana utaachana na mkeo wenu kipenzi..
 
Huyo jamaa mwenyewe alitaka kudanganywa sababu kwani mgeni hawezi lala hapo sebleni au si angesubiri aje ndipo wajue namna ya kumlaza huyo mgeni au kama ndio jamaa kuondoka angeondoka.

Mwenyewe ndio sababu ya kufanyiwa hiyo mnayoiita akili sababu hajui kijiongeza. Pole kwake.

Hivyo kachukua maamuzi gani?
Dah kwahio unaona source ya tatizo ni jamaa ama? Huoni kwamba mwanamke ndio mshenzi hapo kwa kufanya udanganyifu?
 
Wengi wana ujasiri wa ajabu. Hawaogopi madhara ya kile wanachofanya. Fikiria ninja Medrick angekuja na maninja wenzie kulipa kisasi kwa mchizi wa bodaboda! Si nyumba ya watu ingechafuka?

Nawaheshimu wanawake popote walipo ujasiri wao ndio unapelekea baadhi yao kuzaa na wanaume maboya waoga wanaotelekeza watoto wao na mwanamke anabeba majukumu yote.
YaNi inashangaza sana ujasiri wa kuingiza mwanaume ndani ya nyumba ameutoa wapi? Huwa hawawazi madhara ya mbeleni itakuwaje kabisa! Wanaendeshwa na msukumo wa nyege always
 
Uko sahihi!! Huyo jamaa naye hazimtoshi tu, hivi nampishaje mgeni wangu kitanda changu na mke wangu?

Huyo mgeni kwanini asingemsubiri halafu akampeleka lodge?

Au ndo "ben ten" kakaribishwa kwenye geto la mwanamke hivyo anaamrishwa vile mwenye geto anataka!?
Hamna sio ben 10 mzae, jamaa ni mtu wa mishe mishe huwa tuna hustle pamoja sometimes. Ishu ni kwamba jamaa ni mtu smart na muelewa sana huwa hawazagi mambo madogo madogo. Sema manzi yake ndio ametembelea hio weakness ya mchizi na kufanya vitu vya ajabu maana siku zingine ndugu zake huja freshi tu na wanafahamiana vizuri. Upuuzi ni wa mwanamke kuvunja uaminifu na signal zilionekana baada ya ku behave tofauti na siku zingine.
 
Udanganyifu sawa ila aiyepaswa kujua huo ni udanganyifu ni Me kwa kutaka kujua ukweli wa mambo na sio kukubali hovyo hovyo kila anachoambiwa.
Dah sikujua kuwa una moyo mgumu hivyo, hivi mumeo si unamuamini? Je, ikitokea siku akaamua kutumia uaminifu wako kama weakness ya kukudanganya utakaa ujue? Mfano umezoea anakuwaga bar flani akitoka job kisha siku hiyo awe guest anagonga! Will you ever notice that???
 
Hii haikutokea ki ukweli. Ni ya kutunga. Hivi shemeji yako anaweza kuja nyumbani kwako na ukaamua kuondoka bila angalau kumsalimia? Haya... pengine unaogopa kuonana naye, lakini bado kuna simu. Na kingine... kwa hali ya kawaida mgeni anatafutiwa sehemu ya kulala na si rahisi kupishwa na mwenyeji akaenda kutafuta makazi.
We endelea kuhisi ya kutunga wakati ni ishu current nimeshuhudia. Anyways dont trust a woman 100%
 
Dah sikujua kuwa una moyo mgumu hivyo, hivi mumeo si unamuamini? Je, ikitokea siku akaamua kutumia uaminifu wako kama weakness ya kukudanganya utakaa ujue? Mfano umezoea anakuwaga bar flani akitoka job kisha siku hiyo awe guest anagonga! Will you ever notice that???
Mmh. Hivyo kwa hali hiyo unataka kusema huyo uliyemuandika hapouaminifu ndio ulimfanya aache chumba. eti eeee?
 
Hiki kinalenga kwamba kwa vile huwezi beba mimba za wanaume kadhaa basi hurusiwi kua na zaidi ya mmoja. Mwanaume anauwezo wa kubebesha mimba wanawake kadhaa.

Ukiwa mwezini hurusiwi kuingiliwa hivyo utawatesa wanaume zako.

Mwanaume hapati hedhi hawezi kuwatesa wake zake.

Sio lazima ukubali hili
Uwongoo mtupu
 
Jamaa sio ndezi katumia ustarabu tuu coz bado anaishi kisela tuu na demu wake sio kwamba wanaishi nyumbani ..ndo maana unaona kabisa akaondoka awaachie gheto .. Then unapaswa ujue kuna watu n wastarabu na wanajua kuheshimu watu ...huyu bwana derick anaonekana ni mstarabu sana ..ila we unamuona ndezi
Kiongozi naimani hata mitihani ya shule haikuwahi kukusumbua. Umeelewa kwa haraka mno kitu ambacho wengi hawajakielewa na wamekimbilia kufanya judgement tu. Kuna watu ni wastaarabu na waelewa sana kwa asili na kuna watu sio wastaarabu kabisa. Jamaa kufanya alilofanya ilikuwa ni stara tu na kutaka mwanamke wake awe na amani tu na ndugu yake watie story kwa uhuru wafurahi.
 
Mmh. Ustaarabu gani huo Mkuu?

Hahahaaa. Hivyo ungekuwa we pia ungempisha mgeni usiyemjua anafananaje. Duuh. Pole sana aiseee

Niseme tu sio ustaarabu huo.
Kwani ww mdogo wako humfahamu? Chukulia mfano itokee mdogo wako anakujaga home kwako kushinda weekends kisha anarudi zake chuo jioni ikatokea siku haupo na amekuja kisha akalala na mumeo we ukijua amerudishwa chuo, utakuwa judged kama mjinga kwa kuwa hukuja kuhakikisha kuwa amerudi chuo?
 
Mmh. Hivyo salamu za simu unazibariki kuliko za kuonana eee? Huoni hizo salamu za simuni ndio mwanzo wa kudanganywa au hulijui hilo? Maana waeza tafutiwa hata muudumu wa Bar kisha akakwambia ndio yule mgeni. 😂😂😂😂😂 jiongeze broo.

Niko ka wewe tu unavyomtetea jamaa wakati kikawaida tu anaonekana ameyumba na hajui kulilinda jimbo lake kwa kukaba mpaka penalt eti kisa tu nimstarabu. Teh teh teh.
Hivi hio biashara ya kumlinda mwanamke ni lini ilishawahi kufanikisha mtu kuepukana na usaliti. Kuna mambo mengi ya kufanya, ukiamua kuwa mshenzi then utabakia kuwa hivyo for gud. Huna haja ya kulindwa!
 
Jamaa na mpenzi wake wa kudumu wanaotarajia kuingia ulimwengu wa ndoa few years to come currently wamepanga room na sebule. Mwanamke alimpanga jamaa kuwa kuna dada yake anapita mkoa kumuona na atalala kwa usiku mmoja kesho yake aendelee na safari yake.

Jamaa kwa heshima akasema freshi akaamua ampe nafasi akaenda kwenye mishe zake ikiwa yeye atajua pa kulala usiku ukifika. Ila kadiri muda ulivyokwenda akaingiwa na maseke, mawasiliano kwa siku hio yaliyumba. Alitegemea kupata feedback juu ya mgeni ila mpenzi wake akawa kimya hadi kufikia mida ya saa 10 jioni jamaa kumpigia simu mwanamke vipi huyo mgeni kafika salama? Mwanamke akapokea na kudai yupo busy kidogo boss yupo around wana kikao atapiga meeting ikiisha.

Mpaka kufikia saa 2 usiku mwanamke yupo kimya hakupiga simu wala nini. Jamaa kumpigia simu akawa hapokei, ikabidi kumtumia sms. Mwanamke ndio kujibu kuwa alifika salama na wapo wote. Kujaribu kupiga tena mwanamke akawa hapokei simu, akamtext tena mko wapi kwahio, mwanamke akajibu kuwa wapo mjini bado hawajarudi nyumbani kuna vitu wanaangalia ila soon watarudi. Akili ikazidi kumcheza jamaa. Inawezekanaje mgeni aliesafiri zaidi ya masaa 8 awe na nguvu za kuzurura mjini na hasa ni dada mtu mzima?

Ndipo jamaa alipoamua kuingia deep zaidi kifikra, akaamua afatilie kwa siri ujio wa mgeni pale nyumbani. Alienda maeneo ya nyumbani kimya kimya akajitega gizani usawa ambao ataona movement ya mgeni kuingia ndani. Kilichofata ni kweli mwanamke alirudi akaingia ila hakuambatana na mgeni kama alivyodai. Aliingia ndani akatua vitu kisha akaenda nje kwa dakika kadhaa kisha akarudi ndani.

Jamaa alimpigia simu mwanamke kwa utulivu wote akamueleza alipoamua kupumzikia kwa usiku huo kisha akamhoji kama ameshafika home, mwanamke akadai ndio, kuhusu siku yake ilivyokwenda na kuhusu mgeni akadai wote wako freshi. Mwanamke aliongea kwa shauku ilia kumpoteuza maboya jamaa kisha aliaga akakata simu akidai anamwandalia maji na chakula dada yake ambapo aliahidi atapiga simu baada ya muda kidogo. Jamaa akakata simu ikiwa amenote kitu tayari hakukuwa na huyo mgeni aliesemekana yupo, hakusit kuendelea ku observe movement.

Baada ya dakika 10 pikipiki iliwasili nje ya geti. Mwanamke akatoka na kumuendea jamaa aliyekuja na pikipiki wakaongea kidogo kisha akaingia naye ndani ya geti akiwa anamkokota na kumfungulia mlango wa nyumba akamuingiza ndani kisha kumbebea viatu vyake na kuviingiza ndani kisha akafunga mlango.

Jamaa akiwa katika angle of elevation alishuhudia mchezo wote na haikuchukua dakika 15 jamaa akauendea mlango wake na kisha kugonga, mwanamke alifungua hakuamini alichoona,,,ilikuwa ni jamaa yake ndio akawa ameshamfumania.

Mwanamke alikosa amani ghafla na kauli ilikata kabisa hakuweza ongea lolote, akahisi kama jamaa atamuua labda, kuingia chumbani akamkuta mwamba alieingia na pikipiki yupo kitandani kajiachia na helmet kashalivua liko pembeni akisubiria maji ya kuoga ajipakulie mbususu ya mwanamke wa watu.

Wajua kilichofuata ilikuwa nini?

Kila kukicha kuna somo jipya kuhusu hawa ndugu zetu. Hakika wanawake ni viumbe pekee kuwahi kutokea ulimwenguni. Tuishi nao kwa akili na machale, unafiki na ubinafsi huwa hautengamani nao hao daima! Sorry for the pain ninja Medrick.
Huyo mwanamke ni mwehu kbsa
 
Kwa nini ukifumaniwa dushe hata kama limesimama linasinyaa less than 5 second..!
 
Back
Top Bottom