Mwanamke smarter than mwanaume...

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Nimetumia Kingoswe nieleweke zaidi, najua wengi mtapinga hasa wanaume lakini ndo ukweli, nakupa simple mfano au maelezo tu kidogo, sisi wanaume hasa tunaojifanya eti smarter than wanawake, utaanza kutafuta wa pembeni sawa utapata but in a very high cost (mfano Bakhresa) kimwana, mnakula maraha wee duara likichoka mchimbaji anakula kona unarudi nyumbani unasamehewa hata huna kitu,potelea mbali mwanamke asijalishe umemletea magonjwa gani, Lakini wewe sasa unafuma ki sms tu unawaka weeee na talaka unataka kumpa...

Nilitaka kusema hivi anayesamehe ndo smart au anayesamehewa?
 
Dah hilo swali nimejiuliza sipati jibu lililonyooka!Nadhani integemea na matokeo ya huo msamaha ...anaesamehe siku. akiambulia ngoma au presha basi yeye ndo atakeONEKANA mjinga!Muombaji nae akiambulia bila kumwambukiza mama basi yeye ndo mjinga kwa kumissuse msamaha aliopewa na mwisho wa siku akaambulia ugonjwa!
 

Kumbe ndo unavyofanyaga!!! lol
 

dah! Sijaona ndani kabisa.
 
kwa kweli kiswahili chako katika mada yako sijaambulia kitu
 
Hapa unahitaji uwe umesoma summary za Nyambari Nyangwine (sijui jina nimepatia samahani km nimekosea jina) zote ndo uelewe
 
hapa formula ya the gambler inahusika!u got to know when to hold on, know when to walk away and when to RUN....sasa kama mwanaume wako yuko vulnerable na 'kuanguka',basi kuna siku mtavunjika mguu pamoja (kwenye magonjwa). kwa hiyo mjinga ni mwenye kushinedwa kusoma alama za nyakati mapema. japo kuna baadhi wana bahati mbaya,one mistake one goal!kuna wanaume wake zao wanazaa nje ya ndoa na wanawasamehe na maisha yanaendelea tu bila kokoro.
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>
 
Hapa unahitaji uwe umesoma summary za Nyambari Nyangwine (sijui jina nimepatia samahani km nimekosea jina) zote ndo uelewe
Aahahahahahaha umenikumbusha mbali sana....dena Amsi.Nyambali...nya......na summary zake.
 
Mimi nafikiri ni HEKIMA huwa inatumika kwa mambo kama haya. Unajua kusamehe inatokana na aina ya mtu. Kweli kuna kipindi mwanaume au mwanamke akienda kombo nje ya mstari basi watu wanarekebisha bila ngwengwe.

Huyo alieshika ki sms akawaka ujue hana longo longo za kufanya mambo ya kumuumiza mwenza wake, angekuwa ni mwenda nje angekubali yaishe. Si tabia njema kufanya mambo ambayo yanawezamfanya mwenzako kuwa na fikira potofu/mbaya kwako. We should be in straight line. Kama unafanya ebu fanya utaratibu wa kuwa n HESHIMA kwa sababu mwili wako umeishinda ROHO yako, ili ujae dhambi na usimkarahishe mwenzio.

May GOD bless you!
 
kusamehe sio kua smart ni mapenzi na huruma tu...na pia kuiba nako sio ishu ni upumbavu...so the principles of the question does not apply to the this case
 



Magulumangu asante saana kwa kuona hilo... Personaly naona nikijibu niko upande wa wadada na nakubaliana na statement yako all the way.... Kikubwa ngoja tuone kaka zetu wanalichulia vipi na wanasemaje....
 
Kumbe ndo unavyofanyaga!!! lol

Umejitahidi sana kujibu ila hujaeleweka...Kaha sio great thinker ya nini unijibu mimi? Kawajibu wale wa kwenye facebook wenzio sio mimi, anyway nitaonekana mjinga nikijibizana na wewe...
 
Hapa unahitaji uwe umesoma summary za Nyambari Nyangwine (sijui jina nimepatia samahani km nimekosea jina) zote ndo uelewe


yeye ni wa Kike au kiume?sijasoma summary zake au nipe points tu...........
 


Kuna wale wachezaji wale, wanajua sana kupenda na hucheza mechi bila kupoteza, i mean no mistake no goal.....PLAYAZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…