Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Nimetumia Kingoswe nieleweke zaidi, najua wengi mtapinga hasa wanaume lakini ndo ukweli, nakupa simple mfano au maelezo tu kidogo, sisi wanaume hasa tunaojifanya eti smarter than wanawake, utaanza kutafuta wa pembeni sawa utapata but in a very high cost (mfano Bakhresa) kimwana, mnakula maraha wee duara likichoka mchimbaji anakula kona unarudi nyumbani unasamehewa hata huna kitu,potelea mbali mwanamke asijalishe umemletea magonjwa gani, Lakini wewe sasa unafuma ki sms tu unawaka weeee na talaka unataka kumpa...
Nilitaka kusema hivi anayesamehe ndo smart au anayesamehewa?
Nilitaka kusema hivi anayesamehe ndo smart au anayesamehewa?