Mambo ya sijawahi kupenda yametoka wapi tena???Au sina na sijawahi kua nae vina maana sawa??haya umeshinda kama huna, unasema u kusamehe na kuacha, kama huna na hujawahi kupenda so I can conclude even you don know what love is dear....
Mambo ya sijawahi kupenda yametoka wapi tena???Au sina na sijawahi kua nae vina maana sawa??
Hahaha bro umenifurahisha sana hapo mwisho....tena ntafanya kucopy na kupaste ulichosema!!Magulumangu roho ya usaliti ikishakuingia huwezi kuacha tena hata km ungesamehewa mara ngapi,sana sana wanawake wanaoonea aibu wanaume wa aina hii misiba ya nafsi haiwaishi na lastly mauti haiko mbali kwa kua mleta magonjwa unam-entertain...Km Lizy alivyoainisha,ni kumsamehe na kumwambia ukweli bwanaeee nilivutiwa nawe wakati ukiwa domesticated cat sasa umekua paka pori hunifai tena...basi
Kaka zako eti wanasema hawajaelewa KISWAHILI hehehehe...UTASIKIA ETI KISWAHILI HAKISOMEKI OOHHH SIJUI NINI...
Sisi wanaume dada angu sijui tuko vipi, hatupendi mwanaume mwenzetu akitukosoa eti, sasa jamani mbona kiswahili kinaeleweka? sorry sikutaka kumaanisha vile...
Magulumangu roho ya usaliti ikishakuingia huwezi kuacha tena hata km ungesamehewa mara ngapi,sana sana wanawake wanaoonea aibu wanaume wa aina hii misiba ya nafsi haiwaishi na lastly mauti haiko mbali kwa kua mleta magonjwa unam-entertain...Km Lizy alivyoainisha,ni kumsamehe na kumwambia ukweli bwanaeee nilivutiwa nawe wakati ukiwa domesticated cat sasa umekua paka pori hunifai tena...basi
Ielezee tuilewe na sisi
Wanajua, hawataki kuji commit....
Usikate tamaa rafiki endelea tu kuwakumbusha kumbusha....
Mpaka maui yaukue ndo ucommit, tuwashaurini jamani, lkn na nyie dada zeu mfano hapa kwetu Bongo sasa hawa wanajiita ma selebiriiez jamani, mijanaume si inawafuatilia kama nini na wanafurahi u nani alaumiwe hapa?
Vioo vya jamii wenyewe wanajiia wasanii Bongo ndo chanzo cha haya yoe ndugu yangu....
Umeeleweka mkuuImagine watuhumiwa wa ujambazi ambao ushahidi haujakamilika wanawekwa kila mmoja chumba peke yake kisha kila mmoja anaambiwa akitoa ushahidi dhidi ya mwenzake atafutiwa mashitaka.
Dilemma ni kwamba ama kila mmoja atamtosa mwenzake hivyo wote mnafungwa au kila mmoja atakuwa mwaminifu pia wote mnafungwa.
Point yangu Hapa ni kwamba mke na mume waache ukora, who is smater or not smater yote ni maumivu