Mwanamke sura au tabia?

Mwanamke sura au tabia?

Kama lengo langu kwa mwanamke ni kwa ajili ya kukata tu kiu ya kitandani au urafiki boy/girl friend basi sharti langu lazima awe na receiption nzuri. Lakini kama lengo langu ni kutafuta mwenzi wangu wa kufa na kuzikana sharti la kwanza lazima awe na tabia nzuri then sifa zingine zoote zitafuatia nyuma


Acheni kutudanganya bana, hiyo tabia nzuri unaijuaje, wengine mwaanza kutongoza wanawake mlokutana nao kwa bus, matatu, daladala. lol, kwanza mvuto then ndo mnaangalia tabia, ndo maana these days wapenz/wachumba/wanandoa kuachana ni kama kwenda sokoni na kurudi, coz watu wanaangalia sura na maumbile halafu tabia zinafuata badae wameshajicommit
 
Uzuri wa mwanamke tabia kwani ndio kielelezo bora kwake.uzuri ni sifa ya pili kwani unaweza kumuoa mwke mzuri lakini kutokana na tabia zake chafu akachukiza ndani ya jamii na familia yko.vilele waweza kuwa na mke simzuri lkn kutokana na tabia zake akapendwa na kila mtu
 
Mwanamke vyote babu wee! Mwanamke ujue kujibalance. Rose 1980 upo wapi ujazie hapo.
 
Mwanamke mzuri Figure bwana,Tumbo flat,hips,Tits saa 6,Ngo Ngi Ngo(Wo wo wo aka Mchina) ni nomaaa anavutia kinoma unaweza ukawa utoki ndani na kwenda kwenye mishighuliko
 
Kwa mwananke tabia njema hufunika uzuri unapopwaya na kinyume chake ni sahihi.
 
Kwa ajili ya starehe jamaa akishasimama tu basi huyo atakuwa mzuri, kuna siku nilitest mwanamke ana sura mbaya, no mvuto ila kwenye yake mambo aliwazid wote hadi leo na kesho siambiwi lolote kwake ni mtamu sana!
 
Hahahaaa...
kulingana na majibu ya watu wote humu ndani, naona kila mtu ana jibu lake. Kwa hiyo kila mtu ana kitu cha kumvutia kwa mwanamke.
Wadhungu wanasema...."Beauty is in the eyes of the beholder" na nadhani wapo sahihi kabisa.
 
Uzuri wa mwanamke hutegemea pia na mwanaume cuz vigezo vinatofautiana. Huyu anapenda weupe huyu weusi, na tabia mbaya kwa huyu kwa yule nzuri. So uzuri wa mwanamke unadifinition nyingi depending on the "user"
 
Back
Top Bottom