Mwanamke tajiri asiye na kitonga ni mtihani kwa wanaume

reseach?? mkuu alafu uje na kapicha kidogo ukaweke tu proof? Laa sivyo unatafuta laana za wanaume??ngoja uone
 
Haahah!!,mi kuna vitu vitatu naangalia kwanza. Chura,uzuri wa uso afu tabia njema..kama ni kipato mi mwenyewe nko vizur [emoji1] [emoji1] [emoji85]
 
Tusiokuwa na chura kazi tunayo kwakweli mana kila kukicha chura chura
 
Tusiokuwa na chura kazi tunayo kwakweli mana kila kukicha chura chura
Nitajitolea mfano. Mimi nikiona chura njiani nitaisifia na kuishia hapo hapo kuna upendo zaidiya chura.

Pia baadhi wanaosifia vyura ukija kuona wake zao unashangaa vipi na kusifia kote vyura barabarani kumbe wameoa vimbaumbau.

Upendo ni zaidi ya chura bhana. Sometimes mtu unashindwa kujua kwanini umempenda mwenzako.
 
Tusiokuwa na chura kazi tunayo kwakweli mana kila kukicha chura chura
Nitajitolea mfano. Mimi nikiona chura njiani nitaisifia na kuishia hapo hapo. kuna upendo zaidi ya chura.

Pia baadhi wanaosifia vyura ukija kuona wake zao unashangaa vipi na kusifia kote vyura barabarani kumbe wameoa vimbaumbau.

Upendo ni zaidi ya chura bhana. Sometimes mtu unashindwa kujua kwanini umempenda mwenzako.
 
Wenye chura wengi huishia kupelekwa Guest na nyumba ndogo wenye makalio ya kukalia chini wengi hupelekwa nyumba kubwa na huwa wake za watu Fulani! Nani anataka kuoa mke aje kuwa jamvi la wageni kuwatega shemeji zake na majirani
 
Mkuu usiwatie presha wadogo zetu wasioolewa ili wakayatafute hayo mamizigo! Nitajie watu Mashuhuri Tanzania watano tu waliioa wanawake wenye chura! Hao unaowasifu wanasifiwa uswahilini huko kwa wacheza vigodoro ambako maadili ni zero na kwa kulitambua hilo wanawake hawa wameletewa hadi dawa za kuyaongeza makalio ili waendelee kutumika bila ndoa, waoaji wanasifa zao lakini sifa ya chura haimo labda utaje sifa nyingine
 
Ni kweli wema ana chura na ameolewaa mwaka wa 10 sasa kwenye ndoa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…