balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hayo mambo ya chura si mmeyaleta nyie wenyewe!Tusiokuwa na chura kazi tunayo kwakweli mana kila kukicha chura chura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo ya chura si mmeyaleta nyie wenyewe!Tusiokuwa na chura kazi tunayo kwakweli mana kila kukicha chura chura
Mke wa Joshua nasari ,mke wa zito,mama salma kikwete mbona wameolewa
Mbona presha mkuu?Mkuu usiwatie presha wadogo zetu wasioolewa ili wakayatafute hayo mamizigo! Nitajie watu Mashuhuri Tanzania watano tu waliioa wanawake wenye chura! Hao unaowasifu wanasifiwa uswahilini huko kwa wacheza vigodoro ambako maadili ni zero na kwa kulitambua hilo wanawake hawa wameletewa hadi dawa za kuyaongeza makalio ili waendelee kutumika bila ndoa, waoaji wanasifa zao lakini sifa ya chura haimo labda utaje sifa nyingine
Kwani ugomvi mkuu?Sijui faida ya chura kwa mwanamke zaidi ya maonyesho njiani labda wafuasi washetani ndy watatumia
Presha ya nn? Kusema ukweli ndo presha? Sijapendewa chura na tupo imara tunaelekea mwaka wa 3 huuMbona presha mkuu?
Kaongelea mtazamo wake ..mkuu kama umeenda kinyume .. naona flat sikirini wengi ndiyo wanaolewa
Sawa mwenye macho hambiwi tazamaPresha ya nn? Kusema ukweli ndo presha? Sijapendewa chura na tupo imara tunaelekea mwaka wa 3 huu
eti iyo misambwanda ni mizuri kwa kuigegeda tu, ila kuoa ni flat tu...!!!mkuu kama umeenda kinyume .. naona flat sikirini wengi ndiyo wanaolewa
Pia wanaona kwa sababu flat haina soko kwa hiyo mtu anakua na amani na chombo chake sio kama chura ambao hawaishwi kutazamwa hata na vitoto ambavyo havija balehe.eti iyo misambwanda ni mizuri kwa kuigegeda tu, ila kuoa ni flat tu...!!!
ndo maana wengi wanaishia kuwa michepuko
mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu hadi dereva wa mwendokasi amesimamisha gari ghafla, imekua taflani kidogo hapa.Pia wanaona kwa sababu flat haina soko kwa hiyo mtu anakua na amani na chombo chake sio kama chura ambao hawaishwi kutazamwa hata na vitoto ambavyo havija balehe.
Inatia moyo lolMke wa Joshua nasari ,mke wa zito,mama salma kikwete mbona wameolewa