Mwanamke Tajiri!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Siku moja MWANAMKE mmoja tajiri
aliandka kwenye FACEBOOK ake kwamba
''ANAHITAJI MWANAUME AMBAE
HATOMPIGA WALA KUKIMBIA NA HELA
ZAKE'' baada ya mda alipata comment
nying sana toka kwa wanaume
mbalimbali,
baada ya siku kupita kuna mgeni alienda
kwake akabisha hodi na KUGONGA
mlango sana,kufungua akamwona mtu
ambae hana MIKONO WALA MIGUU
akamwuliza NIKUSAIDIE NINI!!?? jamaa
akamjibu ''NLIONA TANGAZO LAKO
FACEBOOK UNATAKA MWANAUME
AMBAE HATOKUPIGA WALA KUKIMBIA
NA HELA ZAKO na MIMI SI UNAONA SINA
MIKONO YA KUKUPGA WALA MIGUU YA
KUKIMBIA NA HELA ZAKO??? yule
mwanamama akajibu kw kusema SAWA!
kisha akamuliza tena je,kitandani mambo
unayaweza??? Jamaa akajibu ''UNADHANI
HUU MLANGO NIMEGONGA KWA
KUTUMIA NIN???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…