Mwanamke toa kidogo, kataa kataa, usikubali haraka

Mwanamke toa kidogo, kataa kataa, usikubali haraka

Ronn M

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
1,279
Reaction score
684
Loh! Kuna hii TV inaitwa Sibuka. Wanaongelea mapenzi na Amani Misana (nilikuwa namsikiliza sana wakati nikiwa

secondary Times FM) Wanasema mambo yatakayomsaidi mwanamke afike kileleni. . .

Kwamba

1. Mwanamke akifika kileleni kuna hormones zinazotoka ambazo zinaleta 'satisfaction' hivyo hatatoka nje

2. Mwanamke ile afike kileleni asianze yeye. Hata Mr akimwanza akatae katae, asikubali haraka. Basi tendo la ndoa

litakuwa safi na atafika kileleni

3. Mwanamke asimwelekeze mwanaume bali asubiri mwanaume amwelekeze. Hapo watafika

4. Halafu mwanamke akilalamika anaongeza uwezekano wa kufika kileleni

5.Wanawake wengi wanapenda sexual outercourse than intercourse
 
huu ni mchanyato, mchanganyiko, mseto au mkoroganyo... totally confused
 
Hizi redio siku hizi!!wanasema kila kitu!watoto watapona kweli?
 
naona mparaganyo tuu,kila mtu na raha zake na anavyopenda.
 
"if you can not convince them ,then confuse them"
 
Aisee sijaelewa kitu naona badala ya kuniconvince umeniconfuse ila yote kheri..
 
no fomula mzazi asikudanganye mtu, mwingine ukimuangalia tu kimapenzi kafika kileleni tayari, mwingine saa nzima unapigana ndio anafika..no fomula
 
Back
Top Bottom