Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, siku akikuchoka kubali kuachika siyo unakuwa king'ang'anizi

Mimi huwa nawatongoza mademu wananikubalia na siwagongi

Sipengi kumeza mbaazi kizembe mimi
 
Nimekupenda/kukutamani nimekuvuta kwa hela nawe ukavutika,nikakutunza,nikakutumia vya kutosha mpaka nikawa sioni tena jipya kutoka kwako,
SIkU nikitaka kubadili ladha,tafadhali usinikatalie maana natumia pesa zangu kuwa enjoy nyie omba omba.
Kumbe wanawake wanatofautiana ladha.
 
Kibuyu kikijaa unafanyaje
demu wa mwisho kugonga ni 2021 25 dec

Baada ya kupima nikakuta nipo fresh

Nilijiwekea kanuni isemayo 'ili usipate ukimwi usifanye ngono'

Naishi na hiyo kanuni sana tu tatizo huku nilipo waathirika ni kama 90%

Na Kondomu siziamini
 
Mwamba Upo Makambako nini maana hapo ndipo penye hizo %
😁😁
 
demu wa mwisho kugonga ni 2021 25 dec

Baada ya kupima nikakuta nipo fresh

Nilijiwekea kanuni isemayo 'ili usipate ukimwi usifanye ngono'

Naishi na hiyo kanuni sana tu tatizo huku nilipo waathirika ni kama 90%

Na Kondomu siziamini
Inatakiwa kondom uziamin,mim nimeshagonga wengi tu wenye ngoma kwa kondom na nipo fresh

Kama hutumii mtungi,ndomu ni kinga Bora kabisa,usiogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…