Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mmoja wa wanaopinga ishu ya wanawake kuvaa vijisuruali kama hivyo... Wananiita mkoloni! siendi na wakati...
kwa dunia ya sasa hawa ndio warembo tunaowahitaji na tunawaweka ndani sasa
Yeah nakubaliana na wewe na suruali nisizo zitaka ni mfano wa niliyoiweka kwenye thread hapo juu,ila kuvaa suruali sio kosa japo kuna suruali za kuvaa na heshima ya mwanamke itayomfanya heshima yake ibaki pale pale.kwa dunia ya sasa hawa ndio warembo tunaowahitaji na tunawaweka ndani sasa
CONTROLA jitafakari upya, suruali haipunguzi mtu kuwa wife material