K kkarumekenge JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 1,708 Reaction score 1,028 Nov 7, 2013 #1 Una kimada mmezaa naye mtoto baadaye akapata bwana akauacha. Hakuishia hapo akakwambia waziwazi huyo mtoto siyo wa kwako, ati unaendelea kutoa matumizi?
Una kimada mmezaa naye mtoto baadaye akapata bwana akauacha. Hakuishia hapo akakwambia waziwazi huyo mtoto siyo wa kwako, ati unaendelea kutoa matumizi?
I IDUNDA JF-Expert Member Joined Oct 31, 2013 Posts 456 Reaction score 155 Nov 8, 2013 #2 kimada? matumizi ya nini sasa wakati amesema mtoto si wako, ila unatakiwa kudai haki yako uliyotunza muda wote huo. SHERIA KWA KISWAHILI
kimada? matumizi ya nini sasa wakati amesema mtoto si wako, ila unatakiwa kudai haki yako uliyotunza muda wote huo. SHERIA KWA KISWAHILI
hakiyako Senior Member Joined Aug 24, 2014 Posts 162 Reaction score 67 Sep 17, 2014 #3 IDUNDA said: kimada? matumizi ya nini sasa wakati amesema mtoto si wako, ila unatakiwa kudai haki yako uliyotunza muda wote huo. SHERIA KWA KISWAHILI Click to expand... kati ya makosa yote unaweza kufanya wewe mwanamke ni kutembea na mme wa mtu.
IDUNDA said: kimada? matumizi ya nini sasa wakati amesema mtoto si wako, ila unatakiwa kudai haki yako uliyotunza muda wote huo. SHERIA KWA KISWAHILI Click to expand... kati ya makosa yote unaweza kufanya wewe mwanamke ni kutembea na mme wa mtu.