kkarumekenge
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 1,708
- 1,028
Una kimada mmezaa naye mtoto baadaye akapata bwana akauacha. Hakuishia hapo akakwambia waziwazi huyo mtoto siyo wa kwako, ati unaendelea kutoa matumizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kati ya makosa yote unaweza kufanya wewe mwanamke ni kutembea na mme wa mtu.kimada? matumizi ya nini sasa wakati amesema mtoto si wako, ila unatakiwa kudai haki yako uliyotunza muda wote huo. SHERIA KWA KISWAHILI