Babu umeniangushaaaaaaaaaaaaaa!mwanaume wa kiafrika hachungulii jikoni babu!anasubiri aletewe mkekani!we ungesubiri bibi alete kikiwa kimefunikwa na kawa babu!hapo umemkosea mama ngina!mtake radhi kwa kanga doti moja yenye maneno haya'mimi na wewe milele"af wala husemi ni kwa ajili ya nini!kwa kuwa bibi atakuwa ni mwanamke wa kiafrika atajua tu unamuomba msamaha.ahahahaahhahhahhaha
EID NJEMA babu DC