Mwanamke: Umemuandalia nini mumeo/familia yako sikukuu hii ya Eid?

Mwanamke: Umemuandalia nini mumeo/familia yako sikukuu hii ya Eid?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,421
072512_arctic_1521319c.jpg

Hebu fungukeni maana nataka kulinganisha kama sijapunjwa na mama Ngina..........................LOL
 
An+African-American+family+eating+lunch+at+a+table.jpg

Karibuni wageni, japo chakula chenyewe kidogo.......................................
 
gema_01_img0008.jpg

Mweh, kwani lazima mkaribishwe..................!
 
Napita tu naona hainihusu.Hlafu Mtambuzi unasema uone kama hujapunjwa in mana mshakula sa nne hii
 
Napita tu naona hainihusu.Hlafu Mtambuzi unasema uone kama hujapunjwa in mana mshakula sa nne hii
Nimechungulia maandalizi ya jikoni mjukuu wangu........... huu uzee nao huu
Ndio maana naambiwa nazeeka vibaya
 
Nimechungulia maandalizi ya jikoni mjukuu wangu........... huu uzee nao huu
Ndio maana naamiwa nazeeka vibaya

Tabia mbaya ungesubiri kije mezani ndo uone au hukutoa pesa ya matumizi ya kutosha so umepata wasiwasi au mamangina huwa anapiga panga bajet?
 
Tabia mbaya ungesubiri kije mezani ndo uone au hukutoa pesa ya matumizi ya kutosha so umepata wasiwasi au mamangina huwa anapiga panga bajet?
Nilishikwamna udadisi tu..................... Si unajua leo ni sikukuu.............
 
AAfamily.jpg

Mzee mwenzangu Bishanga na my wife wake pia na yeye kanitumia mualiko......................................
 
African_family_barbecuing_BLD056817.jpg

Nyama choma muhimu...............................
 
African_family_eating_outdoors_GOGOBAA01076.jpg

ODM Mzee Asprin unatisha................ Nakuona hapo unavyomsaidia my wife wako kuandaa msosi...........................................
 
ALL-FAMILY-2.jpg

nyumba kubwa na familia yake nao hawapo nyuma katika kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitri...................LOL
 
Nimechungulia maandalizi ya jikoni mjukuu wangu........... huu uzee nao huu
Ndio maana naambiwa nazeeka vibaya

Babu umeniangushaaaaaaaaaaaaaa!mwanaume wa kiafrika hachungulii jikoni babu!anasubiri aletewe mkekani!we ungesubiri bibi alete kikiwa kimefunikwa na kawa babu!hapo umemkosea mama ngina!mtake radhi kwa kanga doti moja yenye maneno haya'mimi na wewe milele"af wala husemi ni kwa ajili ya nini!kwa kuwa bibi atakuwa ni mwanamke wa kiafrika atajua tu unamuomba msamaha.ahahahaahhahhahhaha
EID NJEMA babu DC
 
Back
Top Bottom