Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mapenzi ni Hisia , Kimahaba ninaweza yaelezea kua ni Hisia ambazo Zinakaa Damuni , Ubongoni, Moyoni, kila mahali ya Mwilin mwako.
Na Inapokua ya kweli na dhati, kila mmoja anataka awe mahali pa pekeake, ardhi ambayo inampa Furaha , nguvu na Imani ya kuikabiki kesho ... Unajua , unapokua Penzin bana, unapopata Tatizo la kimaisha, ile Pole unayopewa na MTU wako huwa ni zaidi ya Uponyaji .
Kwa Bahati mbaya, Mambo yamebadilika sana, Ule Mizani haupo sawa, siku hizi mmoja anakua deep, mwingine kajiegesha , Matokeo yake wanapoachana, Aliyejitoa kindakikindaki amekua muhanga , unajua MTU uliyemzoea, ukawekeza hisia zako kwake,kwa muda mrefu, hua anatoa maumivu sana.. In fact, Maumiv ya Kuachwa ,ni yapili baada ya Msiba, Unaweza Usile, Unaweza kuona Mali zako sio kitu, na hii nisababu Mapenzi yanamlazimisha aliyependa kindakindaki AMINI FURAHA yake iko katika kile anachokipata kwa mwenzake.
Awali ya yote, Ni lazima Ufaham Utendaji kazi wa Ubongo wa mwanamke linapokuja suala Mapenzi. Mwanamke ni Kiumbe anayependa kwa Hisia , YAAN MWANAUME ANAYEFAULU KUZIAMSHA HISIA ZAKE ,ANAMPATA , NA UNAPOFANIKIWA KUM'MAINTAIN KWENYE HUO MZANI WA HISIA, NDIVO UTAKAVYOMUWEKA KWAKO ...Zaidi soma Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake na Furaha ya Mwanamke inakutegemea wewe Mwanaume! na Jinsi ya Kumfikisha mwanamke Kileleni (Mfanye mwanamke wako akojoe kwanza kabla yako)
Ndio sababu huwa nawaambia humu, "Mwanamke ni Mtumwa wa Hisia zake , na hivo ukijua namna ya Kuishi kwenye hizo hisia ATAKUA MTUMWA wako '.
Kwa hivo ni MUHIMU SANA SANA, unapoanzisha mapenzi naye, Hakikisha umeongea na Hisia zake katika muktadha wa kwamba, YEYE NDIO ATAKUA ANAKUHITAJI ZAIDI, KULIKO UNAVYOMUHITAJI KIHISIA.
MAUMIVU ya Mapenzi kwa mwanaume , tunajitengenezea wenyewe katika zile siku kadhaa za mwanzo unapokua unamfatilia Mwanamke.
Wanaume wengi , huishia kujionyesha kwa Magari, Pesa , Vitu vya thamani kwa mwanamke, na hufanya ivo kama sehem ya kumvutia Mwanamke anayemtaka, Yes , Inakupa Nafasi ya kumpata, lkn Je unazipata hisia zake ???.
Unajua Unamtaka mwanamke kwa Dhati yako na Kweli yako yote, lkn umeshindwa kuzungumza na hisia zake, Matokeo yake, umemlazimisha kua Upande wako kwa sababu MACHO YAKE YAMEONA UNA GARI, UNA PESA , na hivo basi WEWE MWANAUME ,unajikuta unaendelea kufanya uwekezaji mkubwa wa Muda wako, Pesa zako just to keep her , mambo haya yote nabila wewe kujijua , yanafanya Ubongo wako, umtafasiri huyo mwanamke kua ndio kila kitu kwako , kwahivo wakati MWANAMKE huyo anakubalika kwa Ubongo wako ,, weee kwake haupo ivo.... Yaaan wewe mwanaume umekua mtumwa, ... Brooohh huyu Manzi Siku akikutana na Mwanaume anayefaulu kuzigusa Hisia zake ,,,,, atakupiga chini , kila MTU atajua umeachwa !!!....
Hapa Nieleweke kua Mali tuendelee kuzitafuta kama ilivyo Desturi yetu wanaume, na TUTAFUTE kwaajili ya maisha yetu nasio kwaajili ya lengo la kupata mwanamke Fulani.
Inawezekana kabisa ,Wewe pia hauna hizo mambo za magari n.k, ila Ulimpata kwa sababu ulimtongoza na ukafanikiwa kumpata,, ukampenda kwa Moyo wako Ila kakuacha !!!
Inawezekana hauna hayo lkn uliforce sana, yaan ulikomaa mpaka dem akaona awe nawewe kwa huruma tu lkn wewe unampenda kwelikweli ...
CHAKUFANYA......MWANAMKE UNAYEMPENDA KWA DHATI , ANAPOKUACHA [emoji116]
[emoji117]Mwanamke anapokutamkia ,Imetosha ,tuachane., sikutaki tena, au akakuacha tu bila kukuambia, yaan ujiongeze ,Huenda anataka niachane sababu kuna MTU mwingine anamfukuzia au keshapatwa na Jamaa mwingine.....
[emoji818]USIJARIBU HATA SIKU MOJA KUPAMBANA ARUDI KWAKO..... sikia wanapoamua kuondoka. Huondoka na hisia zao zote, wakiwa tayari wamekudharau ,, MATOKEO YAKE, KWA KADIRI UNAVYOMTUMIA MESEJI. UNAVYOMPIGIA SIMU, UNAVYOMWOMBA MSAMAHA, UNAVYOKOMAA ARUDI, NDIVO UNAVYOZIDI KUZIMA HISIA ZAKE KWAKO , NDIVO UNAVYOZIDI KUMSUKUMA MBALIIIIIIII NAWEWE .
[emoji818]KAA kimya, katika huo ukimya, endelea kujifanyia mambo yako, jipe thamani na endelea kua Mpya kila siku , na HAKIKISHA KATIKA YOTE UNAYOFANYA. AJUE KUA HUJAATHIRIKA NA KUONDOKA KWAKE ...yaaan kwa Lugha nyingine mfanye ajihisi Alikua NUKSI. KIKWAZO CHA WEWE KUFANIKIWA.
[emoji818]Ni kweli unaweza kua unaumia, Moyo unatetemeka na kujibukwa na machozi,,, Wewe ni Mwanaume, komaaa, Lilia moyoni, USIRUHUSU MWANAMKE AONE MACHOZI YAKO MACHONI MWAKO. KUPITIA STATUS ZAKO WASAP. HUKO FB, IG, TWT, N.K.... BALI RUHUSU AIONE FURAHAA .
[emoji818]POTEA MACHONI MWAKE KABISA yaan asijue siku hizi unafanya nn. Kazi zako, ratiba, yaan usiweke maisha yako kwenye mitandao, ukiweka,Unaweka kwa Muda baada ya MUDA, na uweke Picha au Jumbe za FURAHA, LOCATION KALI KALI , UKO NA MARAFIKI MNACHEKAAAA
Katika hayo matatu muhimu kuna Mawili
[emoji117]Ajirudi , ndio ajirudi kwa Gia yoyote , nahapa wewe ndio Mwenye upande wa faida, kwakua anakupa uwanja wa wewe kumuwekea Mashariti !!!.na sasa yeye ndio a naenda kua Mtumwa, hapa ,WEWE MWANAUME UNAKOMAA PALEPALEE YAAN USIRUDI KWENYE UTUMWA,BALI KUA MTU MPYA WA TOFAUTI. UKIMWACHA YEYE NDO APIGANIE KUKUWIN, KWA SABABU UMEMFANYA AJUE, MUDA WOWOTE WEE UNAPATA MWANAMKE MWINGINE.
[emoji117]Ataman kujirudi lkn naye Anawaza ataanzaje, au Asirudi na aamue kuendelea Na yake.
Na katika hili, wewe ndio Mwenye Faida sababu umetumia muda wako kujiimarisha, kujipa thamani, Umejiponya , na hapa wewe SONGA MBELEE, TAFUTA KIFAAA KIPYAAA.
[emoji117]Kwa huyo Kifaa kipya, usirudie makosa ulofanya mwanzo ,endelea kula Maisha Mwanangu !!.
[emoji117][emoji117] ALISEMA ROBERT HERIEL kua Usimuonee huruma Mwanamke