Mwanamke umpendaye anapokuacha, ufanye nini upone?

Nilikuwa hivyo hapo kabla ila kuna kasauti ubongoni kakawa kananiambia "ipo siku utakutana na kiboko yako!".
Walahi siku ikawadia!,penzini nikatumbukia matamu nikapewa!,kambani si nikatiwa! Halooo!.
Japo sijawahi kutoa chozi ila chamoto nilijionea!.
Mapenzi yanatesa nyinyi nachoshukuru I have strong mind naweza ku heal nakurudia timamu yangu pale napoona mambo siyo!.

Ni ujumbe mzuri lakini kwa ambao hawajapenda kwa mara ya Kwanza jua huu ujumbe hauwahusu mpk yawakute!. Mapenzi hayafundishiki na hisia hazifundishiki someone can read this but can't handle to practice it!.

This is for strong people not weak one.
 
Umenikumbusha Uzi wako [emoji23][emoji23]
Big up
 
nipo dear, mambo mengi muda mchache

tuambie na upande wa pili tufanyeje ikitokea
Duuuhh Dear Beautiful punguza kususana.


Kwenu nyinyi , Mwanaume akikuacha, komaa naye, lia, mbelembeleze sana,Usikubali kuachwa, wanaume tuko wachache sana ,mwombe hata akufanye mchepuko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Seriously , Mwanaume umpendaye akikuacha , nadhan kuachwa ni kuachwa, hamna maana katika kumshikilia , na wala Usimuendekeze , Unapoachwa na Mwanaume, muache , Kubali , ikiwa umekua Mwema kwake Lkn kajipa upofu, ikiwa umejieleza kihisia kwake nakumpa access ya mwili wako lkn kashindwa kukukumbatia kwa hilo, ikiwa kashindwa kuziona juhudi zako kwako, hata maneno matam yalotoka ndani yako... Ufanye nn zaidi ??????.


Jiongezee thamani, Kua Mpya, fungua Moyo, Huko nje kuna MTU MAKINI anayestahili Pendo lako, kuna Mwanaume anayestahili Muda wako ,kuna mwanaume ambaye Mikono yako juu ya mwili wake ,ni Kama Yuko Paradiso, KWA LUGHA NYINGINE, BAADA YA KUACHWA, KUBALI, WEE SIO MKAMILIFU, JIKITE KUBORESHA MAHALI UNAPOHISI UMEPUNGUA , USIJIJENGEE UKUTA WA "SITAKI WANAUME TENA", NA KATIKA KUA KWAKO MKAMILIFU, NDIKO PALIPO NA UBORA WAKO KWA MWANAUME MWINGINE ..


Kuna nguvu sana katika Kujiboresha, as long as you are beautiful, Hot, pretty , sexy , unavyozidi kupendeza,unavyowekeza kwenye maisha yako, uchumi wako , kubadilika n.k, ....Ni sawa na kumpiga K.O aliyekuacha.
 
Desperation is bad.
 
thank you

ila ulivyoanza na mikwara nikajiambia "whaaaat"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…