Mwanamke unampomkataa mtu tumia lugha nzuri

Mwanamke unampomkataa mtu tumia lugha nzuri

Cha msingi mkubalie upige nyapu hiyo... Then ndo utajua mwelekeo mwingine.. Kwan we nyama huitaki? Huwez jua magumu mangap kapitia mpaka kagundua kuwa ww ndo mumewe... Piga nyama hiyo acha kumbwaya
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mwite aje na rafiki zake daraja la kigambonino mpige selfie zenu za kifesibuku then arudi kwao akakitulize maana si ushamwambia haiwezekani bhana...!!!
 
Msamehe...ila usishiriki naye tendo la ngono
 
Habarini wakuu,
Miaka kama 10 hivi iliyopita tulikuwa tunacheza mechi ya kuagana wanaohitimu na wanaobaki, basi kuna demu nilikua nampenda na siku hiyo ilikuwa nii lazima nijitahidi kuonana nae manake tulikuwa tunakaribia kuanza necta, nilimuona upande aliokuwa amekaa na wenzake nikaomba kampani kwa washikaji wanisindikize. kufika pale tulipiga piga stori jamaa wakawa wananiacha nibaki naye, naye akawa anaondoka ikabidi nimuite lol jibu alilonipa ni baya kuliko majibu ya vibuti vyote nilivyowahi pata. alisema hivi UNATAKA NILAMBE MOTO UJUE NIMEKUKATAA. nilikuwa nishamtongoza kabla ila akawa ananizungusha, jamaa walimbembeleza tuongee akagoma.

Baada ya miaka 10.
Tarh 16 nimekuta request fb ya huyu mwanamke na meseji juu nimechati naye mambo mengi mpaka ya kipindi kile manake ndio ilikuwa mwisho kuonana naye anadai nilikata tamaa mwenyewe mapema hata yeye alikuwa ananipenda anaomba tuwe pamoja wakuu nimemwambia kuwa hilo haliwezekani nikikumbuka nilivoaibika siku ile huyu mwanmke anadai nimpe tu ujauzito kama nikiamua kumuoa sawa nikimtelekeza sawa yeye atalea anaonyesha yuko very desparate na hapo yuko na 27 tu.

Somo kwa dada zetu unapomkataa tumia jibu zuri hakuna anayejua kesho itakuwaje na akiba haiozi.
Duh wewe kweli ulikata tamaa mapema mwezio nilimtokea mtoto wa kigogo flani serikalini nilimtongoza mwaka mzima. Wiki ya mwisho alikuwa anakuja na boyfriend wake namfata na washkaji zangu kama 6 bf wake hukaa upande mwenyewe mwisho demu aliniambia mbona unanivunjia heshima na unajua yule ndio bf wangu. Tuwe marafiki lakini mimi ninampenda yule bf wangu hapo ndio ilikuwa mwisho wa kumtokea.
 
acha kujishaua wewe
miaka 10 nyuma ina maana alikuwa na miaka 17
sasa miaka 17 angeanzaje mapenzi ,alikuwa nahaki ya kukukataa maana huo ni ubakaji ,tena utakuwa ulikuwa muhuni kutongoza watoto
yaani anastahili pongezi sana huyo binti ningekuwa mwanaume ningemuoa
angekukubali hata sasa hivi ungekuwa nae au unaandika tu ?
Wewe hukufanya michezo ya kitoto,,, jiulize wote walikuwa na umri gan sio kukurupukaaaa
 
Cha msingu mkubalie upige nyapi hio... Thn ndo utajua mwelekeo mwingine.. Kwan we nyama huitaki? Huwez jua magumu mangap kapitia mpaka kagundua kua ww ndo mumewe... Piga nyama hiyo acha kumbwaya
hahaa mkuu hii scraper katumia miaka 10 kujua namfaa
 
Duh wewe kweli ulikata tamaa mapema mwezio nilimtokea mtoto wa kigogo flani serikalini nilimtongoza mwaka mzima. Wiki ya mwisho alikuwa anakuja na boyfriend wake namfata na washkaji zangu kama 6 bf wake hukaa upande mwenyewe mwisho demu aliniambia mbona unanivunjia heshima na unajua yule ndio bf wangu. Tuwe marafiki lakini mimi ninampenda yule bf wangu hapo ndio ilikuwa mwisho wa kumtokea.
wew ulijibiwa kistaarabu kabisa.
 
acha kujishaua wewe
miaka 10 nyuma ina maana alikuwa na miaka 17
sasa miaka 17 angeanzaje mapenzi ,alikuwa nahaki ya kukukataa maana huo ni ubakaji ,tena utakuwa ulikuwa muhuni kutongoza watoto
yaani anastahili pongezi sana huyo binti ningekuwa mwanaume ningemuoa
angekukubali hata sasa hivi ungekuwa nae au unaandika tu ?
Katika maneno ambayo siyapendi kuambiwa na mtoto wa kike ni hilo la KUJISHUA.....
 
Kwa wakati huo binti alikuwa sahihi kwa kutotaka kuchanganya mapenzi na masomo...( kama kweli hakuwa ameuanza mchezo huo)
 
acha kujishaua wewe
miaka 10 nyuma ina maana alikuwa na miaka 17
sasa miaka 17 angeanzaje mapenzi ,alikuwa nahaki ya kukukataa maana huo ni ubakaji ,tena utakuwa ulikuwa muhuni kutongoza watoto
yaani anastahili pongezi sana huyo binti ningekuwa mwanaume ningemuoa
angekukubali hata sasa hivi ungekuwa nae au unaandika tu ?
Mwanamke wangu wa sasa nimempata akiwa na miaka 17 net....huku mm nikiwa mwaka wa tatu chuo (23 yrs old)....namaliza 4th naanza kuishi nae...soon. So inawezekana madam.
 
ushaiiona movie yankee zuru jamaa aliwekewa kikopo na rafiki yake kichwani zen wakaanza kukilenga shabaha na bunduki jamaa aliondoka amejikojolea walikutana wamshakuwa wakubwa jamaa akajakumrudishia nae akaweka kikopo koo nawew mkuu mrudishie nenda kwenye bar yenye watu mjibu alivyokujibu ili heshima irudi
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Shalet, piga chini,endelea na maisha yako. Wanawake wako wengi,kwanini upoteze muda wako kwa mtu aliejikatia tamaa? Usije ukakosea na kuvaa kitanzi cha kumpatia mimba, hiyo itakuingiza kwenye matatizo makubwa sana.
 
Acha roho mbaya wewe bwana mdogo....hebu mstiri kijana mwenzako......
Wakijiuza mnawasimanga....wakija kwenu muwasetiri mnawakataa.....!??!
Which is which..........
 
nimegundua kuwa mdada anstahili mafundisho ya kisaikolojia jinsi ya kudeal na wanaume...pia ajiongeze maana inapofika 27 above ni desperate kuolewa..so watu aliokuwa nao nyuma inatakiwa hata akiachana nao iwe kwa maamuzi magumu ya uvumilivu na busara akimkataa mtu iwe kwa lkugha nzuri mpaka kidume kifurahi na ku respect ...maana wengine huwa wanajibu ovyo duuh
 
Back
Top Bottom