The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
- Thread starter
-
- #21
Kwani wewe pia ni mlokole?
nipo jukwaa la siasa au nimekosea mlango?
Hahahha...ndo hivyo sasa.Dada nae aliokoka kwa muda.
Kuhusu uoga wako wala usiuendekeze..cha muhimu ni umpate yule unayefanana nae kweli.Na ili kufanikisha hili achana na kujitambulisha siku ya kwanza na kuongelea ndoa maana ukikutana na dada mwenye uchu wa ndoa hata ukimwambia unapenda sana konokono na yeye hajawahi kula atakwambia na yeye pia.Wapo wanawake wa kila aina out there....we mtafute tu yule anaeelekea kua kama wewe.
Kazi mnayo wanaume!Kwenye kuchagua wachumba kuna kazi Ndugu yangu,
Unakutana na dada wa kitaa anakufurahisha kweli sexually na unajihisi huru kuwa naye chumbani lakini mkitoka hutaki watu wajue unamchukua. Je yanawakuta kina dada mambo kama hayo? Yaani kuna madada kila mtu anawataka mtaani lakini kwa orodha ya waliokwisha wapitia, unachotaka ni mambo yake tu. Kumfanya mke ni issue. Utasema nini mbele ya wenzako wakati huwezi hata kujiridhisa mwenyewe kwa sababu za kumuoa? Mtazamo wa jamaa wengi mke na hawara wanatofautiana. Uhusiano na hawara una sura ya sex sana kwa kuwa hakuna mambo serious ya kuwaunganisha zaidi ya vipedo na viwanja kwa wale outgoing. Mke hata kunywa bia mnajadili kama ni sahihi au la! Hata huyo mdada katika mfano wangu ni mlokole jina lakini viwanja anakamata maji kama hana akili.
Siku moja alinikaripia sana ktk mazungumzo baada ya kuchallange kitu kidogo kuhusu ukweli katika vitabu vya imani zetu (Unajua tena; baadhi vimeandikwa miaka mingi kidogo baada ya matuakio halisi) Nilijiuliza maswali mengi sana akilini, how comes hata hawa wenye imani kali hawawezi kutulia na waume zao tena waume waliotulia?
Mungu atuepushe na mitihani hii.
Ungekuwa dume ningedhani Shekhe Yahaya karudi ulingoni. Jamaa si mlokole wa huko ndani tu, maana sijui yaliyomo kati ya kuta 4, lakini ni mlokole ki-imani pia kwa maana ya kulia na kunena kwa lugha isiyotafsirika hapa duniani. Do you know them? May be anapenda missionary style. Nimewahi kusikia wanawake wangi wanakuwa bored na mitindo ya kujirudia. Naanza kuhisi nilichukua uamuzi sahihi kutooa japokuwa natamani sana kuitwa baba. Napata woga kuitwa mume wa mtu.
Sipati picha; kufanya mapenzi ki-mishionari kwa miaka 20 halafu ghafla nakuwa hard core kuogopa kunyanganywa na ma'chizi. Unajua ni rahisi sana kumfanya utakavyo mke wa mwenzio lakini ukashindwa wako. Imagine mke kutoka ndani bara huko ghafla tu umtumikishe michezo yote ya pwani! Unaanzaje kwanza? Blue wengine kutazama ni dhambi na kuiga yaliyomo ni tiketi 1st class ya motoni.
Kumbe na wewe mwoga eeemhhhhh
mungu tulindie wake zetu huko nje....
Lizzy umenifurahisha sana, nataka uwe mshauri wangu wa mahusiona.. najua utanifaa sana. good girl.
Hivi kumbe mume wa mtu weye?!mhhhhh
mungu tulindie wake zetu huko nje....
Hahahha...ndo hivyo sasa.Dada nae aliokoka kwa muda.
Kuhusu uoga wako wala usiuendekeze..cha muhimu ni umpate yule unayefanana nae kweli.Na ili kufanikisha hili achana na kujitambulisha siku ya kwanza na kuongelea ndoa maana ukikutana na dada mwenye uchu wa ndoa hata ukimwambia unapenda sana konokono na yeye hajawahi kula atakwambia na yeye pia.Wapo wanawake wa kila aina out there....we mtafute tu yule anaeelekea kua kama wewe.
mnh huyo dada ni muhuni aliolewa bahati mbaya, ni yule mtu hatulii na mmoja........................mie napenda mwanaume awe mkali kidogo sipendi mwanaume nikikosea akae kimya,ila sio wa magumi lol....napenda mtu mwenye uzoefu kitandani i mean he is not shy to try new things lol...nampenda mwanaume rensponsible both as a husband and a father i mean anayejua vyema roles zake......:dance::mimba:
hivi kumbe mume wa mtu weye?!
Hii ni ya wapi The bosskiafrika hata girlfriend ni mke......
Na hapo nimesema wake zetu means
wake za kaka zangu,wake za wajomba zangu na kadhalika....
kiafrika hata girlfriend ni mke......
Na hapo nimesema wake zetu means
wake za kaka zangu,wake za wajomba zangu na kadhalika....
Puhleeeeez....