Kwenye kuchagua wachumba kuna kazi Ndugu yangu,
Unakutana na dada wa kitaa anakufurahisha kweli sexually na unajihisi huru kuwa naye chumbani lakini mkitoka hutaki watu wajue unamchukua. Je yanawakuta kina dada mambo kama hayo? Yaani kuna madada kila mtu anawataka mtaani lakini kwa orodha ya waliokwisha wapitia, unachotaka ni mambo yake tu. Kumfanya mke ni issue. Utasema nini mbele ya wenzako wakati huwezi hata kujiridhisa mwenyewe kwa sababu za kumuoa? Mtazamo wa jamaa wengi mke na hawara wanatofautiana. Uhusiano na hawara una sura ya sex sana kwa kuwa hakuna mambo serious ya kuwaunganisha zaidi ya vipedo na viwanja kwa wale outgoing. Mke hata kunywa bia mnajadili kama ni sahihi au la! Hata huyo mdada katika mfano wangu ni mlokole jina lakini viwanja anakamata maji kama hana akili.
Siku moja alinikaripia sana ktk mazungumzo baada ya kuchallange kitu kidogo kuhusu ukweli katika vitabu vya imani zetu (Unajua tena; baadhi vimeandikwa miaka mingi kidogo baada ya matuakio halisi) Nilijiuliza maswali mengi sana akilini, how comes hata hawa wenye imani kali hawawezi kutulia na waume zao tena waume waliotulia?
Mungu atuepushe na mitihani hii.